-
Walowezi wa Israel wachoma misikiti ya Ukingo wa Magharibi
Jul 27, 2026 03:48Walowezi wa Kiisraeli wamevamia misikiti miwili, mmoja uliokuwa ukijengwa, katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuichoma moto katika kile kinacholaaniwa kama kampeni ya kimfumo inayolenga haki za kidini za Wapalestina.
-
IRGC yazionya Israel na Uingereza kuhusu kuisaidia Marekani katika vita dhidi ya Iran
Jul 26, 2026 13:20Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezionya Uingereza na utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuisaidia na kushirikiana na Marekani katika vita vyake vya jinai na uchokozi dhidi ya Iran.
-
Iran yasifu mazungumzo ‘yenye tija’ na Oman kuhusu usafirishaji katika Lango-Bahari la Hormuz
Jul 26, 2026 13:18Iran imesema kuwa mazungumzo kati yake na Oman kuhusu safari salama za meli katika Lango Bahari la Hormuz yamepiga hatua nzuri, lakini hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika katika suala la usafirishaji kupitia njia hiyo muhimu ya maji.
-
Jeshi la Iran: Karibu miundombinu yote ya Marekani huko Erbil imeharibiwa
Jul 26, 2026 13:16Msemaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa karibu miundombinu yote ya Marekani katika mji wa Erbil, kaskazini mwa Iraq imeharibiwa.
-
Wizara ya Afya Gaza: Israel imeuwa Wapalestina wengine 9 Gaza; Vifo vyapindukia 73,300
Jul 26, 2026 13:14Wapalestina wengine tisa wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza katika saa 24 zilizopita.
-
Rais wa Senegal azindua chama chake cha kisiasa baada ya kutengana na mshirika wake wa zamani, Sonko
Jul 26, 2026 13:09Rais wa Senegal azindua chama chake cha kisiasa baada ya kutengana na mshirika wake wa zamani, Sonko
-
Trump Aidhinisha Saudi Arabia kuwa na Mpango wa Nyuklia: Mfano Mwingine wa Undumakuwili wa Marekani
Jul 26, 2026 09:40Rais Donald Trump wa Marekani hatimaye ametiliana saini na Saudi Arabia makubaliano ya ushirikiano wa nishati ya nyuklia kwa matumizi ya kiraia, ambayo yanafungua njia kwa ajili ya shughuli za kurutubisha urani ndani ya ufalme huo.
-
Araqchi alaani vikali shambulio la Ukraine dhidi ya meli ya biashara ya Iran Bahari ya Caspian
Jul 26, 2026 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amelaani vikali shambulio la kijeshi lililofanywa na utawala wa Ukraine dhidi ya meli ya biashara ya Iran katika Bahari ya Caspian.
-
Iran: Mashambulizi yataendelea hadi adui atakapojisalimisha kikamilifu
Jul 26, 2026 03:09Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Mohammad Baqer Zolghadr amesema mashambulizi ya vikosi vya jeshi la Iran yataendelea hadi adui atakapojisalimisha kikamilifu na hadi kulipiza kisasi kwa damu ya mashahidi.
-
Malaysia yasisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwafukuza Waisraeli
Jul 26, 2026 02:51Waziri wa Ulinzi wa Malaysia, Mohamed Khaled Nordin, amesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo itaendelea kuwafukuza raia wa Israel kutoka katika ardhi ya Malaysia, akieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya sera ya muda mrefu ya Kuala Lumpur ya kutoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel.