-
Iran yaibuka ya 3 katika Mashindano ya Riadha ya Walemavu India
Oct 07, 2025 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemaliza katika nafasi ya tatu katika Duru ya 12 ya Mashindano ya Riadha ya Walemavu yaliyofanyika nchini India.
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Tunu Adhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu; Kumbukumbu ya kuuawa shahidi
Oct 07, 2025 02:26Karibuni wasikilizaji wapendwa kutegea sikio kipindi hiki cha makala ya wiki tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah, kuweni nami hadi tamati.
-
"Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa", Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa, Sept 25
Oct 07, 2025 02:18Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.
-
Turathi zinazoibwa na utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi, Sept 9
Oct 07, 2025 02:13Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Redio Tehran katika Makala ya Wiki ambapo leo tutazungumzia jinai ya kiutamaduni inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuyakalia kwa mabavu maeneo ya kale ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Utawala huo umejimilikisha turathi za utamaduni za Wapalestina kwa ajili ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na kambi zao kwa kisingizio cha kujilinda.
-
Kilichopelekea maandamano ya kuipinga Israel katika nchi za Ulaya kugeuka kuwa vuguvugu kubwa la umma barani humo
Oct 07, 2025 01:02Maandamano makubwa ya wananchi wa mataifa ya Ulaya dhidi ya sera za utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza yangali yanaendelea.
-
Maelfu waandamana Amsterdam wakihimiza hatua kali dhidi ya Israel
Oct 07, 2025 00:56Maelfu ya wancnhi wa Uholanzi walikuwa wamevaa mavazi mekundu wameandamana mjini Amsterdam wakiitaka serikali ya Uholanzi kuchukua hatua madhubuti zaidi na kali zaidi dhidi ya Israel na kusaidia kumaliza vita vilivyodumu kwa takriban miaka miwili sasa huko Ghaza, Palestina.
-
Mbali na mateka, HAMAS wana turufu nyingine hizi
Oct 06, 2025 23:42Wakati vyombo vya habari vya Israel vikijaribu kuonesha suala la mateka kama kitu pekee ya mashinikizo ilicho nacho Hamas, mchambuzi mmoja wa Jordan ameionya kwamba Hamas inaweza kuvuruga mlingano huo wakati wowote kwa kutumia turufu nyingine kadhaa tofauti za kimkakati.
-
Rais wa Madagascar amteua jenerali wa jeshi kuwa Waziri Mkuu mpya
Oct 06, 2025 23:41Rais Andriy Rajoelina wa Madagascar amemteua Jenerali Ruphin Fortunat Zafisambo kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo wiki moja baada ya kulivunja baraza la mawaziri kufuatia maandamano ya wananchi ya siku kadhaa.
-
Watu 13 wameuawa na 19 kujeruhiwa katika mashambulizi ya RSF Darfur Kaskazini
Oct 06, 2025 23:41Mtandao wa Madaktari nchini Sudan leo Jumatatu umetangaza kuwa raia wasiopungua 13 wameuawa na 19 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur Kaskazini.
-
Mripuko wa boti magharibi mwa Libya waua watu kadhaa
Oct 06, 2025 23:40Watu wasiopungua watatu wamethibitishwa kuuawa katika mripuko wa boti uliotokea kwenye pwani ya Zawiya, karibu kilomita 60 magharibi mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.