-
Timu ya mazungumzo ya Hamas yawasili Misri
Oct 06, 2025 09:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake ya leo Jumatatu kuwa timu yake ya mazungumzo imeshawasili Misri.
-
Kallas asisitiza tena kuendelezwa diplomasia ya nyuklia na Iran
Oct 06, 2025 08:57Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ambaye alielekea Kuwait kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Usalama na Ushirikiano wa Kikanda kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa kutekelezwa utaratibu kwa jina la Snapback hakumaanishi kufikia kikomo diplomasia na Iran.
-
Iran: Marekani na Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi haramu dhidi ya vituo vya nyuklia
Oct 06, 2025 08:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran zinazoendesha shughuli zake kwa malengo ya amani na ya kiraia na pia mashambulizi ya pande mbili hizo dhidi ya umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala nchi hii.
-
WHO: Watu 400 wameaga dunia kwa utapiamlo Ukanda wa Gaza tangu kuanza mwaka huu
Oct 06, 2025 08:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa watu 400 wameaga dunia kw autapiamlo katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa ya makusudi iliyosaabishwa na Israel. Watoto 100 ni miongoni mwa idadi hii tajwa ya waliopoteza maisha kwa njaa; watoto 80 walikuwa na umri wa chini ya miaka mitano.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa droni bandari ya Eilat katika oparesheni mpya dhidi ya Israel
Oct 06, 2025 08:03Wanajeshi vya Yemen wamefanya shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) kuelekea mji wa bandari wa Eilat katika ncha ya kusini kabisa ya maeneo yanayokaliwa na Israel katika operesheni mpya ya jeshi la Yemen ya kulipiza kisasi katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ajiuzulu
Oct 06, 2025 08:02Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekubali kujiuzulu Waziri Mkuu aliyemteua hivi karibuni baada ya kukosolewa kuhusu safu ya baraza lake la mawaziri.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 6
Oct 06, 2025 07:43Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Kamanda wa IRGC: Iran itajibu kwa ukali na nguvu zaidi uchokozi wa maadui
Oct 06, 2025 03:58Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Pakpour amesisitiza kuwa, Jeshi la Iran limejiandaa kikamilifu kutoa jibu thabiti na kali kwa chockochoko tarajiwa za maadui.
-
Trump amhutubu Netanyahu; Daima una misimamo hasi
Oct 06, 2025 03:58Rais wa Marekani, Donald Trump amemkemea vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa radimali yake hasi kwa jibu 'chanya' la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kwa pendekezo la makubaliano ya kusitisha mapigano, ripoti imefichua.
-
Familia 1,200 zahama makazi yao kutokana na mafuriko Khartoum, Sudan
Oct 06, 2025 03:45Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.