-
Nchi wanachama Watetezi wa Mkataba wa UN zalaani hatua ya EU dhidi ya Iran
Feb 05, 2026 03:37Nchi wanachama wa Kundi la Marafiki Watetezi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ambayo imelaani hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.
-
Guardiola apaza sauti tena kuhusu mauaji ya kimbari ya Ghaza na dhulma inayotawala duniani
Feb 05, 2026 02:35Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
-
ACT-Wazalendo yalaani mpango wa ZEC wa kuchoma moto nyaraka za uchaguzi wa Zanzibar
Feb 05, 2026 02:34Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani mpango wa tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wa kuchoma na kuteketeza nyaraka za Uchaguzi wa Oktoba 2025, uliofanyika visiwani humo.
-
Wabeba silaha waua watu wanaokaribia 200 kwenye majimbo ya Kwara na Katsina, Nigeria
Feb 05, 2026 02:34Watu wenye silaha wamewaua karibu watu 200 magharibi na kaskazini mwa Nigeria. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na wakazi wa maeneo hayo huku manusura wakiwazika wenzao waliouawa na askari wa vikosi vya usalama wakiwasaka washambuliaji.
-
Russia: Mkataba wa nyuklia wa New START baina yetu na US unamalizika leo Feb. 5
Feb 05, 2026 02:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa, Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia kwa madola mawili makubwa zaidi duniani yanayomiliki silaha hizo, yaani nchi hiyo na Marekani unamalizika rasmi leo tarehe 5 Februari, na kwamba hadi sasa Moscow haijapokea jibu lolote rasmi kutoka kwa Washington kuhusu kuuongezea muda mpya mkataba huo.
-
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Feb 04, 2026 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho asubuhi.
-
Waziri wa Usalama wa Iran aonya Magharibi kuhusu madhara ya kudai IRGC ni kundi la kigaidi
Feb 04, 2026 23:06Waziri wa Usalama wa Iran, Esmail Khatib, ameonya kuwa nchi za Magharibi zitakumbana na madhara ya hatua yao ya kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa eti ni shirika la kigaidi.
-
Wasomi na wanafikra duniani watangaza kumuunga mkono Ayatullah Khamenei
Feb 04, 2026 23:05Kundi la wasomi, wanafalsafa na wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali za dunia limetangaza kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, pamoja na juhudi zake za ujasiri na zenye upeo mpana katika kulinda utu wa binadamu na haki.
-
Mkutano wa Tanzania wasisitiza kutumia mashine katika kilimo barani Afrika
Feb 04, 2026 23:04Harakati za zama za sasa za kutumia mashine kwenye sekta ya kilimo barani Afrika lazima zitofautiane na harakati za zamani ili hatua hizo ziwe endelevu. Hayo yamesemwa na Beth Bechdol, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO.
-
Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea
Feb 04, 2026 23:02Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran litasababisha kuwashwa moto wa vita vya eneo. Sasa swali linaibuka: vita vya eneo ni nini na vinafanyika vipi?