-
Duru za Kimataifa: Israel inatumia mrengo wa kulia wa Ulaya kupiga vita Uislamu
Feb 04, 2026 03:50Vyombo vya habari vya kimataifa viimefichua uhusiano unaokua kati ya utawala haramu wa Israel na mrengo wa kulia barani Ulaya, hasa katika kupiga vita Uislamu na Waislamu katika nchi za bara hilo.
-
Abiy Ahmed: Ethiopia kuzindua chuo kikuu cha pili duniani cha AI mwaka 2027
Feb 04, 2026 03:48Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, jana alieleza kuwa Chuo Kikuu cha pili duniani kilichojikita katika akili mnemba (AI) kinatarajiwa kuzinduliwa nchini Ethiopia mwaka kesho wa 2027.
-
Waislamu waadhimisha siku ya kuzaliwa Mwokozi wa Akheri Zamani
Feb 04, 2026 00:57Waislamu wa madhehebu ya Shia katiika maeneo mbalimbali ya dunia Leo Jumatano mwezi 15 Shaaban wanaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam wa Zama, Imam Mahdi AS, Imam wa 12 wa katika kizazi cha Mtume wetu Muhammad (SAW).
-
Makomando 4 walizima kamera na kumpiga risasi... Maelezo mapya yaibuka kuhusu mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi
Feb 03, 2026 23:56Timu ya kisiasa ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, imefichua kwamba mauaji yake yamefanywa na watu wanne wasiojulikana waliokuwa na silaha, ambao walivamia nyumba yake katika mji wa Zintan (kilomita 200 kusini-magharibi mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli) alasiri ya jana Jumanne.
-
Iran yazindua miradi mitatu ya kimkakati ya teknolojia ya anga za mbali
Feb 03, 2026 23:56Iran imezindua rasmi mafanikio matatu ya kimkakati ya ndani ya nchi katika sekta za miundombinu ya anga, mawasiliano na picha za satelaiti katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali
-
Iran yawaita mabalozi wa Umoja wa Ulaya kulalamikia tuhuma dhidi ya IRGC
Feb 03, 2026 23:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Ethiopia yakanusha madai ya Trump kuwa Marekani ilifadhili mradi wa Bwawa la Renaissance
Feb 03, 2026 23:46Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amesema kuwa nchi hiyo haikupokea “hata senti moja” kutoka kwa serikali yoyote ya kigeni kwa ajili ya kufadhili ujenzi wa Bwawa Kuu la Renaissance la Ethiopia (GERD), akikanusha madai ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba Marekani imefadhili mradi huo.
-
Jeshi la Sudan lapata mafanikio katika vita dhidi ya waasi wa RSF
Feb 03, 2026 23:40Jeshi la Sudan limevunja mzingiro uliowekwa na waasi dhidi ya mji muhimu wa Kusini, Kadugli, Jumanne. Hayo yametangazwa na Rais wa mpito na Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.
-
Ni kwa sababu gani utawala wa kizayuni unakwamisha utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita Ghaza?
Feb 03, 2026 22:55Maelezo yaliyotolewa na maafisa wa Palestina na wa Umoja wa Mataifa yanaonyesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unakataa kutekeleza awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya "mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja" dhidi ya Iran?
Feb 03, 2026 07:49Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.