-
Viongozi wa Afrika waunga mkono mpango wa dola milioni 518 kukabiliana na kuenea kwa Ebola
Jun 17, 2026 12:04Viongozi wa Afrika siku ya Jumanne walikutana katika mkutano wa dharura wa ngazi ya juu uliofanyika kwa njia ya mtandao, kwa lengo la kutafuta ufadhili wa dola milioni 518 za kudhibiti mlipuko wa Ebola unaoendelea huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda.
-
Somalia yabainisha wasiwasi kufuatia uhusiano kati ya "Israel" na "Somaliland"
Jun 17, 2026 12:01Serikali ya Somalia imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuheshimu sheria za kimataifa, kutambua mamlaka yake ya kitaifa, na kulaani hatua zozote zinazodhoofisha umoja na uthabiti wa taifa hilo.
-
Kombe la Dunia 2026: Timu za Asia na Afrika Zilivyokumbana na Vikwazo Marekani Hata Kabla ya Kupulizwa Kipenga cha Kwanza
Jun 17, 2026 07:43Huku nikitumai kuwa hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo, nakukaribisha kuwa nami katika Makala ya Wiki ya juma hili itakayoangazia jinsi mamlaka za Marekani, ambayo ni moja ya wenyeji wa mashindano ya Dunia ya soka yaliyoanza siku ya Alkhamisi, zilivyozitendea timu za nchi washiriki wa mashindano hayo zilipowasili nchini humo.
-
EID Gadir na Kumbukumbu ya Kuaga Dunia Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu)
Jun 17, 2026 07:32Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamdu zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetujaalia kuwa miongoni mwa wanaoshikamana na Wilaya ya Amirul Muuminin, Ali bin Abi Talib AS.
-
“Hormuz, Lango Takatifu”
Jun 17, 2026 07:20Matumaini yangu mpenzi msikilizaji ni kuwa hujambo popote pale ulipo. Karibu kuwa pamoja nami katika makala yetu ya wiki hii yenye anuani: “Hormuz, Lango Takatifu”.
-
Ejei: Iran iko tayari kuendelea kupigana iwapo adui atavunja ahadi
Jun 17, 2026 03:29Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholamhossein Mohseni Ejei, amesema Iran iko tayari kuendeleza mapambano dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel iwapo maadui hawatatimiza ahadi zao chini ya makubaliano mapya yaliyotangazwa ya kumaliza vita.
-
Kamanda wa Kikosi cha Quds: Vita dhidi ya Iran vimeifedhehesha Marekani, vimeharakisha kuporomoka Israel
Jun 17, 2026 03:24Brigedia Jenerali Esmail Qaani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), amesema kuwa vita vya tatu vya kulazimishwa dhidi ya Iran vimeifedhehesha kabisa Marekani na vimeharakisha kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kocha: Timu ya Iran imedhulumiwa zaidi katika Historia ya Kombe la Dunia
Jun 17, 2026 03:21Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Iran, Amir Ghalenoei, amesema kuwa ‘Team Melli’ ndiyo “timu inayodhulumiwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA.”
-
Huenda mlipuko wa Ebola nchini DRC ukadumu kwa mwaka mmoja
Jun 17, 2026 03:18Imebainika kuwa mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaoendelea kuenea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) bado haujafikia kilele chake, na huenda ukadumu kwa takriban mwaka mmoja.
-
Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati lakanusha uvumi kuhusu njama ya mapinduzi
Jun 17, 2026 03:13Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna njama ya kutaka kuipindua serikali, na kusisitiza kuwa nchi hiyo ina utulivu wa kutosha, na kwamba taasisi za serikali zinafanya kazi kama kawaida.