-
Algeria yaijia juu Ufaransa kwa kueneza 'urongo' kupitia TV
Jan 26, 2026 07:22Serikali ya Algeria imeishutumu Ufaransa kwa kuidhinisha 'uchokozi' dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Kaskazini, baada ya televisheni ya serikali ya Paris kurusha makala ya matukio ya kweli (documentary) ambayo Algiers imesema imejaa "urongo na uzushi."
-
Iran yazifungulia mashitaka US, Israel kwa kuunga mkono ugaidi
Jan 26, 2026 06:46Iran imewasilisha malalamiko ya kisheria na jinai katika majukwaa ya kimataifa dhidi ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel, na makundi kadhaa ya kigaidi kwa kuunga mkono na kufadhili vitendo vya ugaidi na uhaini dhidi ya usalama wa taifa wa Iran.
-
Wahamiaji 50 wahofiwa kufa maji katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Jan 26, 2026 06:42Serikali ya Tunisia imesema kuwa, takriban wahamiaji 50 aghalabu yao kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua yao kupinduka katika pwani ya Tunisia.
-
Medvedev: Yumkini mataifa mengi zaidi yakaunda silaha za nyuklia
Jan 26, 2026 06:41Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuna uwezekano mataifa zaidi kuzalisha silaha za nyuklia kutokana na kuongezeka ukosefu wa utulivu duniani.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 26
Jan 26, 2026 05:48Hujambo msikilizaji mpenzi, na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita kote duniani.
-
Rais wa Shirikisho la Soka Ujerumani: Ni wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia FIFA 2026
Jan 26, 2026 03:31Rais wa Shirikisho la soka la Ujerumani (DFB), amesema ni wakati wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia la 2026 kutokana na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Iran yapuuza propaganda za mtindo wa Kinazi kuhusu idadi ya vifo vilivyosababishwa na ghasia
Jan 26, 2026 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amepuuza madai ya hivi karibuni kwamba takriban watu 30,000 waliuawa wakati wa ghasia zilizoungwa mkono na wageni za hivi karibuni nchini Iran.
-
Jeshi la Mali lafanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya kigaidi kusini magharibi mwa nchi
Jan 26, 2026 03:14Jeshi la Mali (FAMa) limeeleza kuwa liimefanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya kigaidi kusini-magharibi mwa nchi hiyo, na kulenga "harakati kubwa" ya wanamgambo karibu na eneo la Mourdiah.
-
Makaburi ya umati ya Khartoum yafichua sura ya giza katika vita vya Sudan
Jan 26, 2026 03:08Makaburi mawili ya umati yenye mabaki ya miili ya maelfu ya watu yalipatikana hivi majuzi mjini Khartoum mji mkuu wa Sudan. Kupatikana kwa makaburi hayo kumefichua sura ya giza katika mzozo unaoendelea Sudan kati ya jeshi la taifa na wanamgambo wa kundi la Rapid Support Forces (RSF)
-
Moscow: Utekaji nyara wa Maduro ulifanyika kwa uhaini wa ndani
Jan 26, 2026 03:07Balozi wa Russia nchini Venezuela amesema Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, alisalitiwa na vibaraka wa ndani nchini humo.