Ripoti
  • Vijana wa Afrika Mashariki washiriki Mashindani ya Kimataifa ya Qurani ya Iran

    Vijana wa Afrika Mashariki washiriki Mashindani ya Kimataifa ya Qurani ya Iran

    May 14, 2016 10:24

    Vijana kutoka kanda ya Afrika Mashariki ni miongoni mahuffadh na maqari wanaoshiriki duru ya 33 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani inayofanyika hapa mjini Tehran.

  • Nguvu za ndege aina ya tai

    Nguvu za ndege aina ya tai

    May 10, 2016 05:48

    Mwenyezi Mungu amewajaalia ndege aina ya tai kuwa na uwezo mkubwa wa kushambulia wanyama hata wakubwa na kuruka nao. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya nguvu hizo.

  • Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    May 04, 2016 07:03

    Ted Cruz aliyekuwa anawania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani wa tiketi ya chama hicho alishitukia amempiga ngumi ya uso mkewe, baada ya kushindwa na mgombea mwenzake Donald Trump na kuamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho.

  • Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya

    Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya

    May 01, 2016 04:52

    Mara nyingi uamuzi wa mtu mwenyewe ndio unaomtumbukiza kwenye matatizo kama ilivyojiri kwa derehe huyu wakati alipojaribu kuvuka daraja lililofunikwa na mafuriko nchini Kenya.

  • Kuongezeka

    Kuongezeka "chokoraa" Mombasa, Kenya

    May 01, 2016 03:53

    Jiji la Mombasa nchini Kenya limegubikwa na idadi kubwa ya familiza za watu wa kurandaranda mitaani maarufu kwa jina la chokoraa huku idadi kubwa ya watu wao wakiwa si wenyeji wa eneo la Pwani.

  • Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Apr 30, 2016 04:35

    Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.

  • Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Apr 30, 2016 03:13

    Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu

  • Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa wema na ihsani

    Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa wema na ihsani

    Apr 23, 2016 02:49

    Licha ya mnyama huyu anayejulikana kwa jina la dubu kuwa na njaa lakini njaa yake haikuwa sababu ya kumwanya ndege huru anayezama, afariki dunia na wala haikuwa sababu kwake kumla

  • Mtu hafi ila kwa siku yake kufika

    Mtu hafi ila kwa siku yake kufika

    Apr 21, 2016 08:53

    Madamu siku zako za kuishi duniani zingalipo, hakuna tukio linaloweza kuchukua roho yako. Muone huyu alivyoponea chup chupu na kuwa shahidi wa uhakika huo....