-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaanzisha sensa ya kuwaorodhesha wakimbizi na kuwapatia vitambulisho
Feb 11, 2018 04:24Serikali ya Rwanda imeanza zoezi la kufanya sensa ya kuwaorodhesha wakimbizi wote wanaoishi nchi hiyo.
-
Kongamano la Kiislamu Kampala lawahimiza Waislamu kupendana + Sauti
Feb 11, 2018 03:23Walimwengu wa leo wanajijazia ugumu wenyewe kwa kuacha kufuata mafundisho matukufu ya Mwenyezi Mungu ikiwa ni pamoja na kuacha kupenda, kinyume kabisa na mafundisho ya Uislamu. Hayo yamesemwa katika kongamano maalumu la Waislamu lililofanyika mjini Kampala Uganda. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo:
-
SAUTI, Uandikishaji majina ya wapigakura Burundi ili kushiriki kura ya maoni 2020 utakaomsafishia njia Rais Nkurunziza waanza
Feb 08, 2018 12:10Nchini Burundi, leo kumezinduliwa zoezi la uorodheshaji wa majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea kura ya maoni hapo baadaye.
-
SAUTI, CUF yamjia juu Waziri wa Sheria Tanzania, Kabudi, yamtaka aisome upya katiba kuhusu mamlaka ya rais
Feb 08, 2018 12:07Chama cha wananchi CUF nchina Tanzania kimekosoa matamshi ya Waziri wa Sheria wa nchi hiyo, Palamagamba Kabudi bungeni mjini Dodoma aliyesema kwamba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka kuingilia masuala ya ndani ya Zanzibar hata yasiyohusuu muungano.
-
Chadema yalalamikia "udanganyifu" uchaguzi mdogo wa Kinondoni, Siha + Sauti
Feb 08, 2018 04:12Chama cha upinzani nchini TanzaniaCHADEMA kimesema hakiridhishwi na mwenendo wa haki katika nyanja ya demokrasia kutokana na mlimbikizo wa matukio yanayoonesha ukandamizwaji wa vyama vya upinzani nchini humo.
-
Rwanda yajitetea kuhusu haki za binadamu + Sauti
Feb 08, 2018 04:07Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba imechukua hatua kubwa ya kuboresha haki za binadamu kwa kutekeleza makubaliano ya kimataifa ya Geneva. Nchi hiyo imetangaza hayo wakati kukiwepo na ukosoaji wa kimataifa kuhusu ukosefu wa uhuru wa kutoa maoni nchini humo. Maelezo zaidi yamo ndani ya ripoti ya mwandishi wetu wa Kigali, Sylvanus Karemera
-
Waziri wa Fedha Uganda matatani + Sauti
Feb 07, 2018 15:24Waziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi wa Uganda anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yaanza kuwaondosha ombaomba mitaani, nao waitaka serikali iwape pesa ya kujikimu
Feb 06, 2018 12:25Serikali ya Burundi kupitia Wizara ya Mshikamano Kitaifa, imeanzisha zowezi la kuwaondowa watoto wa barabarani maarufu kama ombaomba katika dhamira ya kumaliza tatizo hilo.
-
Changamoto za teknolojia barani Afrika + Sauti
Feb 06, 2018 07:17Mataifa ya Afrika yametangaza kuwa yako tayari kushirikiana kuweka sera na sheria moja kuhusu uratibu na matumizi ya teknolojia kwenye medani za kimataifa. Hilo limetangazwa na Muungano wa Kimataifa kuhusu Teknolojia unaojulikana kwa jina maarufu la ITU. Mwandishi wetu wa Kigali na taarifa kamili
-
Changamoto ya wakimbizi Uganda, fedha zatoweka, UN yaingia wasiwasi + Sauti
Feb 06, 2018 07:07Uganda inakabiliwa na changamoto nyingi kutoka na kuzidi kumiminika wakimbizi nchini humo. Miongoni mwa changamoto hizo ni hitilafu za fedha za kuhudumia wakimbizi zilizoutia wasiwasi Umoja wa Mataifa. Vitambulisho na pasi bandia za kusafiria ni changamoto nyingine. Mwandishi wetu na taarifa zaidi