-
SAUTI, Serikali ya Kenya yakosolewa na viongozi wa dini kwa hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu nchini humo
Jan 31, 2018 15:31Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imekosolewa na viongozi wa dini nchini humo kutokana na hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu kupeperushaji matangazo baada ya televisheni hizo kurusha moja kwa moja hafla ya kuapishwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Raila Odinga.
-
SAUTI, Mahusiano ya Rwanda na Uganda huwenda yakaharibika kutokana na raia wa Rwanda kteswa Uganda
Jan 31, 2018 15:30Huwenda mzozo wa Uganda na Rwanda ukaingia hatua mpya kutokana na baadhi ya Wanyarwanda kuendelea kutiwa mbaroni na askari wa Uganda na kurejeshwa baadaye nchini Rwanda.
-
Raila Odinga na kujiapisha kuwa "rais wa wananchi wa Kenya" + Sauti
Jan 31, 2018 03:02Raila Odinga, kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Jumanne, Januari 30, 2018 amejiapisha kuwa "rais wa wananchi wa Kenya" katika Bustani ya Uhuru jijini Nairibo kwenye sherehe ambazo licha ya kuhudhuriwa na maelfu ya wafuasi wake, lakini viongozi wenza wa NASA hawakuhudhuria. Mwandishi wa Radio Tehran, Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu tukio hilo.
-
Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wazidi kukimbilia Burundi + Sauti
Jan 29, 2018 14:46Raia wa eneo la Fizi la mashariki mwa DRC wamekuwa wakikimbia mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa Maimai na kukimbilia nchi jirani ya Burundi. Zaidi ya raia elfu 9 wa DRC tayari wamewasili Burundi tangu wiki iliyopita ingawa huduma za kibinadamu za UNHCR hazijaanza kutolewa kwa wakimbizi hao. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi.
-
Dk Slaa awataka Watanzania waache ushabiki + Sauti
Jan 29, 2018 14:41Watanzania wametakiwa waondoe ushabiki katika masuala muhimu ya maendeleo na siasa ili kuisaidia serikali ifike katika maendeleo ya kweli.
-
Mzanzibari Ali Hilal Ali na msikilizaji wa Radio Tehran Dotto Rangimoto washinda tunzo ya fasihi + Sauti
Jan 28, 2018 14:33Mzanzibari anayejulikana kwa jina la Ali Hilal Ali ameshinda tunzo ya Fasihi ya Kiswahili Afrika kwa mwaka 2017 inayotolewa na Taasisi ya Mabati Cornell yenye makao yake jijini Nairobi Kenya. Taarifa zaidi na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
-
Uganda kuendelea kuunga mkono Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) + Sauti
Jan 27, 2018 04:43Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuiunga mkono Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika jitihada zake za kutatua matatizo ya eneo la jumuiya hiyo. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kampala, Kigozi Ismael ametuandalia ripoti hiyo hapo juu
-
Chama cha CUF Tanzania chawakumbuka wanachama wake waliouawa 2001 + Sauti
Jan 27, 2018 04:39Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania kinapeperusha bendera nusu mlingoti kuwakumbuka wanachama wake waliouawa katika maandamano ya mwaka 2001 walipokuwa wanalalamikia kuporwa ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo, visiwani Zanzibar. Maelezo kamili na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Jan 27, 2018 04:30Kama ilivyo kwa sehemu nyingine, wiki hii iliyomalizikia na Ijumaa, kulikuwa na matukio mengi ya Kiislamu katika eneo la Afrika Mashariki. Mwandishi wa Radio Tehran visiwani Zanzibar, Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti hiyo hapo juu.
-
Miaka 25 ya Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania + Sauti
Jan 23, 2018 05:03Chama cha WAnanchi CUF cha nchini Tanzania kimetimiza miaka 25 ya kuasisiwa kwake kikiwa kinakabiliwa na changamoto nyingi za kila upande. Mwandishi wa Radio Tehran, Harith Subeit ametuandalia ripoti ifuatayo: