Dk Slaa awataka Watanzania waache ushabiki + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i39651-dk_slaa_awataka_watanzania_waache_ushabiki_sauti
Watanzania wametakiwa waondoe ushabiki katika masuala muhimu ya maendeleo na siasa ili kuisaidia serikali ifike katika maendeleo ya kweli.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jan 29, 2018 14:41 UTC

Watanzania wametakiwa waondoe ushabiki katika masuala muhimu ya maendeleo na siasa ili kuisaidia serikali ifike katika maendeleo ya kweli.

Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu) Ikulu jijini Dar es Salaam na Balozi Willbroad Slaa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama cha CHADEMA ambaye Rais John Magufuli amemteua kuwa balozi wa Tanzania.

Mwandishi wa Radio Tehran, Omar Manji ametuandalia ripoti maalumu kuhusu jambo hilo