Chama cha CUF Tanzania chawakumbuka wanachama wake waliouawa 2001 + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i39547-chama_cha_cuf_tanzania_chawakumbuka_wanachama_wake_waliouawa_2001_sauti
Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania kinapeperusha bendera nusu mlingoti kuwakumbuka wanachama wake waliouawa katika maandamano ya mwaka 2001 walipokuwa wanalalamikia kuporwa ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo, visiwani Zanzibar. Maelezo kamili na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jan 27, 2018 04:39 UTC