Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Sisitizo la kuendeshwa mapambano ya pande zote dhidi ya ugaidi barani Afrika

    Sisitizo la kuendeshwa mapambano ya pande zote dhidi ya ugaidi barani Afrika

    Jun 05, 2016 06:28

    Rais wa Senegal amezitolea mwito serikali mbalimbali kushirikiana na kukusanya nguvu na nyezo zote ili kupambana na makundi yenye misimamo ya kufurutu ada.

  • Umoja wa Afrika wakosoa kasi ndogo ya ufungamano barani Afrika

    Umoja wa Afrika wakosoa kasi ndogo ya ufungamano barani Afrika

    May 30, 2016 03:02

    Umoja wa Afrika umelalamika kuhusu kasi ndogo ya kuelekea kwenye mafungamano ya bara la Afrika.

  • Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    May 26, 2016 02:04

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza azma yake ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na bara la Afrika.

  • Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran

    Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran

    May 25, 2016 03:01

    Sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika zinafanyika leo hapa mjini Tehran katika ofisi ya utafiti wa kisiasa na kimataifa ya Wizara ya Mambo ya Nje.

  • Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza

    Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza

    May 20, 2016 11:55

    Kirusi hatari cha Zika kimeripotiwa kuibuka barani Afrika kwa mara ya kwanza katika Visiwa vya Cape Verde magharibi mwa bara hilo.

  • Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika

    Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika

    May 17, 2016 23:03

    Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu yamesema yanahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika, zinazokabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula na lishe duni iliyosababishwa na ukame.

  • UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad

    UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad

    May 16, 2016 23:46

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamilioni ya watu katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitajia misaada ya chakula.

  • AU yaelezea kusikitishwa na kiwango kikubwa cha ufisadi barani Afrika

    AU yaelezea kusikitishwa na kiwango kikubwa cha ufisadi barani Afrika

    May 08, 2016 03:05

    Umoja wa Afrika AU umeelezea kusikitishwa sana na kiwango cha juu cha ufisadi katika nchi za bara hilo.

  • Rwanda: Kongamano la uchumi Kigali kuangazia teknolojia na mfumo wa dijitali

    Rwanda: Kongamano la uchumi Kigali kuangazia teknolojia na mfumo wa dijitali

    May 07, 2016 03:15

    Rwanda inatazamiwa kuwa mwenyeji wa duru ya 26 ya Kongamano la Uchumi Duniani WEF mapema wiki ijayo. Marais, wajasiriamali na wawekezaji zaidi ya 1,200 wa bara hilo wanatazamiwa kushiriki kongamano hilo litakalofanyika Kigali kati ya Mei 11 na 13.

  • Rouhani: Iran inafadhilisha kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Afrika

    Rouhani: Iran inafadhilisha kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Afrika

    May 03, 2016 23:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linafadhilisha kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Afrika ikiwemo Togo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS