-
Ebola yaendelea kuua DRC, WHO kuitangaza hatari ya kimataifa
Apr 12, 2019 20:47Wataalamu wa afya wa Shirika la Afya Duniani WHO wanafanya tathmini kubaini iwapo mripuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola ambao umeua mamia ya watu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unapaswa kutangazwa kuwa hatari ya kimataifa au la.
-
Ebola yaua watu zaidi ya 100 kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Apr 08, 2019 00:05Mripuko wa ugonjwa wa ebola umeua zaidi ya watu mia moja katika kipindi cha majuma matatu yaliyopita kwenye maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kesi mpya za ugonjwa wa Ebola zaripotiwa Kongo DR
Mar 30, 2019 03:26Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imethibitisha kesi nyingine 15 za ugonjwa hatari wa Ebola.
-
WHO yaomba msaada kimataifa kukabiliana na Ebola DRC
Mar 24, 2019 10:27Shirika la Afya Duniani WHO limetoa wito wa kukabiliana na hali ya mlipuko wa homa ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, ambako watu takriban 1,000 wameambukizwa ugonjwa huo.
-
Kituo cha kutibu Ebola Butembo, DRC chahujumiwa
Mar 01, 2019 04:27Kituo cha kutibu Ebola huko Butembo, jimbo la Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kimehujumiwa na watu wasiojulikana.
-
Ripoti: Wanawake Kongo DR wananunua chanjo ya Ebola kwa ngono
Feb 13, 2019 04:13Vyanzo mbalimbali ya habari vimeripoti kuwa, wanawake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanalazimika kufanya ngono mkabala wa kupewa chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola, ambao umeua mamia ya watu kufikia sasa.
-
Msalaba Mwekundu: Mamia ya Wakongomani wamekimbilia Uganda
Jan 02, 2019 11:46Shirika la Msalaba Mwekundu limesema mamia ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchini Uganda baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Jumapili iliyopita.
-
Wagonjwa 24 wa Ebola watoroka kituo cha matibabu Beni, Kongo DR
Dec 27, 2018 23:33Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya wagonjwa 24 walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola kutoroka kituo cha matibabu mjini Beni, mashariki mwa nchi.
-
Uganda yachukua tahadhari kuhusu Ebola kabla ya uchaguzi DRC
Dec 21, 2018 11:18Uganda imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu ugonjwa wa Ebola, ili kukabiliana na wimbi tarajiwa la wakimbizi iwapo vurugu zitaibuka katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.
-
WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC
Nov 30, 2018 01:03Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.