-
Ripoti: Askari wa Eritrea wangali wanaua raia Tigray, Ethiopia
Dec 03, 2022 06:56Jeshi la Eritrea linatuhumiwa kuwa linaendelea kufanya mauaji ya raia katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.
-
Waasi wa Tigray kusalimisha silaha nzito Jumamosi ijayo
Dec 01, 2022 07:59Balozi wa Ethiopia nchini Kenya amesema kuwa kundi la waasi la Tigray People's Liberation Front (TPLF) litasalimisha silaha zake nzito siku ya Jumamosi ijayyo kufuatia mazungumzo kati ya makamanda wakuu wa jeshi na TPLF.
-
UN: Misaada ya chakula katika eneo la Tigray haiwiani na mahitaji
Nov 26, 2022 10:14Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP) umeeleza kuwa, misaada ya chakula inayopelekwa katika eneo la Tigray lililokumbwa na mapigano kaskazini mwa Ethiopia haiwiani na mahitaji yaliyopo licha ya kuanza kutekelezwa mapatano ya kusitisha mapigano.
-
UN yaonya baada ya mripuko wa kipindupindu kuua watu 20 Ethiopia
Nov 25, 2022 23:04Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetoa indhari baada ya makumi ya watu kuaga dunia huku mamia ya wengine wakiathiriwa kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mashariki mwa Ethiopia.
-
Waasi wa Tigray kuweka silaha chini iwapo askari wa Eritrea wataondoka Ethiopia
Nov 13, 2022 10:55Serikali ya Ethiopia na makamanda wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) wameafikiana kuweka silaha chini, mara tu wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea watakapoondoka nchini humo.
-
Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia
Oct 25, 2022 06:27Sambamba na kushtadi mapigano nchini Ethiopia na kuvunjwa makubalianao ya usitishaji vita ya miezi mitano na kuwaka tena moto wa vita katika nchi hiyo, maelfu ya Waethiopia walifanya maandamano ya nchi nzima siku ya Jumamosi kulaani uingiliaji wa madola ya kigeni, hasa Marekani, katika masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Mazungumzo ya amani ya Tigray kufanyika Oktoba 24 Afrika Kusini
Oct 21, 2022 00:42Mazungumzo ya amani ya kujaribu kutatua mgogoro katika eneo la Tigray huko kaskazini mwa Ethiopia kati ya serikali kuu na wapiganaji wa TPLF yameratibiwa kufanyika wiki ijayo.
-
Guterres: Hali ya mambo Ethiopia huenda isidhibitike tena
Oct 18, 2022 04:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali ya mambo nchini Ethiopia na kutoa mwito kwa pande hasimu katika mgogoro wa eneo la Tigray la kaskazini mwa nchi kuhitimisha mvutano na uhasama baina yao.
-
AU yazitapa pande hasimu Ethiopia kuketi kwenye meza ya mazungumzo
Oct 17, 2022 07:28Umoja wa Afrika umetoa wito kwa pande zinazozozana katika eneo la Tigray nchini Ethiopia kuketi kwenye meza ya mazungumzo ya amani.
-
Ethiopia yazuia matumizi ya fedha za kigeni
Oct 17, 2022 01:58Ethiopia imeziagiza benki nchini humo kuwanyima wafanyabiashara fedha za kigeni ambao wanaaagiza bidhaa zisizopewa kipaumbele. Ethiopia imechukua hatua hiyo katika juhudi za kuimarisha akiba yake ya kigeni inayoendelea kupungua siku baada ya siku.