-
Haj Ali Akbari: Uchaguzi ni fursa nzuri kwa watu wa Iran
Feb 23, 2024 08:51Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, uchaguzi ni fursa nzuri kwa watu wa Iran.
-
Iran yaitaka ICJ isitishe ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Palestina
Feb 23, 2024 00:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya sheria na kimataifa ameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) iulazimisha utawala wa Kizayuni uhitimishe sera yake ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Kampeni za uchaguzi wa Bunge la Iran zinaanza kote nchini leo hadi Februari 29
Feb 22, 2024 00:13Msemaji wa Tume ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran amesema: Kampeni za wagombea 15,000 wanaowania viti vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeanza rasmi alfajiri ya kuamkia leo.
-
Amir-Abdollahian: Kura ya turufu ya US ya kuzuia usitishaji vita Ghazza ni janga la kidiplomasia la karne
Feb 21, 2024 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha Marekani ya kupiga kura nyingine ya veto ya kuzuia usitishaji vita kwenye Ukanda wa Ghazza ni maafa na janga la karne la kidiplomasia.
-
NAM: Mashambulizi ya Israel huko Gaza yanapaswa kulaaniwa
Feb 21, 2024 08:06Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwa niaba ya Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) kwamba: Kuendelea mashambulizi ya kikatili ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Palestina hususan katika Ukanda wa Ghaza, kunapaswa kulaaniwa.
-
Eslami: Iran ni miongoni mwa nchi 5 zinazoongoza katika sekta ya nyuklia
Feb 21, 2024 08:04Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa nchi hii ni kati ya nchhi tano zinazoongoza duniani katika sekta ya nyuklia licha ya vikwazo vya miaka kadhaa vya Magharibi dhidi ya Tehran.
-
Iran yakadhibisha madai ya US ya kuipa silaha Yemen
Feb 20, 2024 09:23Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai kwamba inatuma silaha nchini Yemen na kusisitiza kuwa, madai hayo hayana msingi wowote.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amwambia Guterres: Jamii ya kimataifa isiruhusu mauaji ya watu wa Rafah
Feb 20, 2024 01:04Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akionya kuhusu mauaji ya umati yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wakazi wa Rafah huko Palestina.
-
Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina
Feb 19, 2024 07:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kuidhinishwa na Baraza la Seneti la Marekani msaada wa dola bilioni 14 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kunaonyesha kuwa Washington inautuza na kuupa bakhshishi utawala huo kwa kuwaua kwa halaiki raia wasio na hatia wa Palestina katika vita visivyo na mlingano vya Gaza.
-
Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah
Feb 16, 2024 04:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika Ukanda wa Ghazza hususan kwenye mji wa Rafah ambao unakabiliwa na hatari kubwa ya uvamizi unaokaribia kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.