-
Wapiganaji wa Haftar wapuuza mwito wa UN, waendelea kumwaga damu Libya
Mar 24, 2020 03:28Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 6 katika mashambulizi ya roketi ya kundi la wanamgambo linalojiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar jana Jumatatu viungani mwa mjini mkuu Tripoli.
-
Tripoli yaitaka Khartoum kuwaondoa mamluki wa Kisudani nchini Libya
Mar 21, 2020 07:17Mjumbe katika Baraza la Utawala la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya, Muhammad Ammari amesema Libya ingali inasubiri ufafanuzi wa Serikali ya Sudan kuhusu uwepo wa mamluki wa Kisudani katika safu za wapiganaji wa jenerali muasi, Khalifa Haftar wanaoendelea kuhujumu mji wa Tripoli.
-
UN yalaani mauaji ya wasichana na wanawake mjini Tripoli, Libya
Mar 20, 2020 08:36Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la mabomu katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ambalo liliua na kujeruhi watoto wa kike na wanawake kadhaa.
-
Watoto 3 wauawa katika shambulizi la wapiganaji wa Haftar Libya
Mar 19, 2020 04:22Watoto watatu wa familia moja wameuawa baada ya kundi la wanamgambo kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar kulishambulia kwa mabomu eneo la Ain Zara, kusini mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Wahajiri 400 wakamatwa wakijaribu kwenda Ulaya na kurejeshwa Libya
Mar 15, 2020 23:03Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema Gadi ya Pwani ya Libya imewakamata wahajiri 400 wakiwa safarini kuelekea Ulaya na kuwarejesha katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
The Guardian: Imarati imempatia Haftari tani 5,000 za silaha
Mar 12, 2020 23:20Ripoti iliyoandikwa na gazeti la Guardian la Uingereza imefichua kuwa, nchi ya Umoja wa Falme wa Kiarabu (Imarati) imempatia jenerali mstaafu wa Libya, Khalifa Haftar tani elfu tano za silaha tangu mwezi Januari mwaka huu.
-
Waziri wa zamani wa Algeria kuwa mjumbe maalumu wa UN nchini Libya
Mar 12, 2020 04:26Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Algeria ametangazwa kuwa chaguo la baadae la kushika nafasi ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya.
-
Kuendelea mashauriano kwa ajili ya kurejesha hali ya uthabiti Libya
Mar 11, 2020 03:38Katika hali ambayo vita vinaendelea huko Libya; Khalifa Haftar kamanda wa wanamgambo kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya ameainisha masharti kwa ajili ya kutekeleza usitishaji vita huko Libya wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa katika ikulu ya Elysee.
-
UNICEF: Vita nchini Libya vimekuwa na taathira mbaya mno hasa kwa watoto
Mar 05, 2020 04:48Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watu wasiopungua 1,800,000 wameathirika vibaya na vita vya ndani nchini humo ambapo 266,000 kati yao ni watoto wadogo.
-
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ajiuzulu
Mar 03, 2020 03:55Ghassan Salamé, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, huku mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ukishtadi.