-
Wanamgambo washambulia bomba la mafuta, Niger Delta Nigeria
May 28, 2016 23:23Wanamgambo wameshamulia bomba muhimu la mafuta katika eneo la Niger Delta nchini Nigeria huku kundi la wanamgambo linalojiita Walipiza Kisasi wa Niger Delta likitangaza kuhusika na hujuma hiyo.
-
Shambulio la wanamgambo wa Niger Delta lasimamisha kazi za kampuni ya mafuta Nigeria
May 26, 2016 22:59Duru za kampuni ya uchimbaji mafuta ya Chevron zimeeleza kuwa shughuli za za uchimbaji mafuta za kampuni hiyo katika ufukwe wa Niger Delta zimesimamishwa baada ya kituo chake katika eneo la Escravos kushambuliwa na wanamgambo wanaobeba silaha.
-
Binti wa kwanza wa Chibok, aokolewa toka mikononi mwa Boko Haram
May 19, 2016 02:44Mmoja wa mabinti wa shule ya wasichana ya Chibok waliotekwa nyara na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria yapata miaka miwili iliyopita ameokolewa kutoka kwenye makucha ya magaidi hao.
-
Serikali ya Nigeria yawaonya wafanya mgomo
May 18, 2016 11:10Serikali ya Nigeria imetoa onyo kali kwa vyama vya wafanyakazi na vya ushirika vilivyosema kuwa vitaendelea na mgomo wa nchi nzima kwa ajili ya kupigania haki zao.
-
Nigeria kutumia vinasaba vya DNA kugundua magaidi
May 16, 2016 23:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo ina mpango wa kutumia vinasaba yaani DNA kuwakamata magaidi.
-
Mwanafunzi wa Sh. Zakzaky: Serikali ya Nigeria ni kibaraka wa US na Israel
May 16, 2016 03:21Mmoja wa wanafunzi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema serikali ya Abuja ni kikaragosi wa Marekani na utawala haramu wa Israel na kwamba imefanya kosa la jinai kwa kuua Waislamu wa Zaria na kuendelea kumzuilia Sheikh Zakzaky.
-
Kikao cha kieneo nchini Nigeria kuhusiana na vita dhidi ya kundi la Boko Haram
May 14, 2016 23:22Kikao cha viongozi wa eneo la magharibi mwa Afrika kuhusiana na vita dhidi ya kundi la Boko Haram kilianza Jumamosi ya jana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
Wanaharakati Uingereza waandamana dhidi ya Rais wa Nigeria, wataka kuachiwa Sh. Zakzaky
May 13, 2016 03:21Makundi ya waharakati wa kutetea haki za binadamu yamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza London kulalamikia dhuluma na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi Waislamu wa nchi hiyo.
-
Vijana wenye hasira washambulia wanasiasa wawili wa Kano, Nigeria
May 12, 2016 10:56Polisi katika jimbo la Kano nchini Nigeria imetangaza kuwa vijana wenye hasira wamewashambulia wanasiasa wawili katika jimbo hilo lililoko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Nigeria yaitaka Uingereza irudishe mali za nchi hiyo zilizoibiwa
May 11, 2016 23:37Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema ameitaka Uingereza izirudishe mali za nchi hiyo zilizoibwa na baadhi ya maafisa wa serikali na kupelekwa nchini humo.