-
Ulaya: Trump weka wazi siasa zako za masuala ya kigeni
Jan 20, 2017 03:15Waziri wa Ulinzi wa Ujerumini, Ursula Gertrud von der Leyen amemtaka Donald Trump, rais mteule wa Marekani aweke wazi siasa zake za mambo ya kigeni hasa baada ya kujitokeza matamshi ya kugongana baina ya viongozi wa serikali ijayo ya Marekani kuhusu Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi, NATO.
-
Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa
Dec 07, 2016 03:49Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la burqa, linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya ubalozi wa Ujerumani
Nov 12, 2016 04:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga ubalozi mdogo wa Ujerumani nchini Afghanistan.
-
Kuongezeka pakubwa mashambulizi dhidi ya Misikiti na Waislamu nchini Ujerumani
Oct 23, 2016 11:38Ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni inaonyesha kuongezeka kwa kiasi kikubwa mashambulizi dhidi ya Waislamu na misikiti huko Ujerumani.
-
Ujerumani yazidi kujikita kijeshi nchini Niger
Oct 08, 2016 00:34Ujerumani imeimarisha kuwepo kwake kijeshi nchini Niger kwa kuanzisha kituo cha jeshi la anga katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey.
-
Maadui wazidi kuonesha chuki zao dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
Oct 03, 2016 03:59Magenge yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya nchini Ujerumani yameendelea kuonesha chuki zao dhidi ya Waislamu kwa kutupa kichwa cha nguruwe nje ya msikiti wa mji wa Potsdam, makao makuu ya mkoa wa Brandenburg, nchini Ujerumani.
-
Zarif akosoa masharti ya Ujerumani kwa Iran
Oct 02, 2016 04:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Waziri wa Uchumi wa Ujerumani aliyesema kuwa Berlin inaweza kuimarisha uhusiano wake na Tehran kwa sharti kuwa Jamhuri ya Kiislamu iutambue utawala haramu wa Israel.
-
Iran kwa Ujerumani: Katu hatutaacha kuiunga mkono Palestina
Oct 01, 2016 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu nchi hii haitoacha kuiunga mkono Palestina.
-
Jamii ya Waislamu Ujerumani yalaani kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu
Sep 08, 2016 09:51Jamii ya Waislamu nchini Ujerumani imelaani vikali mwenendo wa kuongezeka chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Wasiwasi kuhusu hatima ya watoto wakimbizi elfu 9 huko Ujerumani
Aug 30, 2016 03:08Polisi ya Ujerumani imetangaza kuwa karibu watoto wakimbizi elfu tisa nchini humo wametoweka, hatua ambayo imezidisha hali ya wasiwasi kuhusu uwezekano wa watoto hao kuuzwa na kutumiwa vibaya na magenge ya biashara haramu ya binadamu katika nchi za Ulaya.