Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Uingereza yapiga kura kujiondoa Umoja wa Ulaya, EU

    Uingereza yapiga kura kujiondoa Umoja wa Ulaya, EU

    Jun 23, 2016 22:28

    Matokeo yasiyo rasmi ya kura ya maoni iliyopigwa hapo jana kuhusu Uingereza kujitoa au kubakia ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) yanaonyesha kuwa Waingereza wataondoka EU.

  • Umoja wa Ulaya waahidi kushirikiana na Afrika Magharibi dhidi ya ugaidi

    Umoja wa Ulaya waahidi kushirikiana na Afrika Magharibi dhidi ya ugaidi

    Jun 25, 2016 01:55

    Umoja wa Ulaya umesema kuwa utashirikiana na nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.

  • Cameron ajiuzulu kama Waziri Mkuu baada ya Uingereza kujiondoa EU

    Cameron ajiuzulu kama Waziri Mkuu baada ya Uingereza kujiondoa EU

    Jun 24, 2016 03:53

    Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amejiuzulu baada ya Waingereza kupiga kura ya kujiondoa katika Umoja wa Ulaya.

  • Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Russia

    Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Russia

    Jun 17, 2016 10:22

    Baraza la Umoja wa Ulaya limerefusha vikwazo vya umoja huo dhidi ya Russia.

  • EU na mikakati mipya nchini Mali ya kuzuia wahamiaji haramu

    EU na mikakati mipya nchini Mali ya kuzuia wahamiaji haramu

    Jun 16, 2016 03:16

    Umoja wa Ulaya umesema unatekeleza mikakati huko Mali kwa lengo la kuzuia kuendelea wimbi la wahamiaji haramu kuelekea Ulaya.

  • UN yaidhinisha kupanuliwa operesheni za EU, Libya

    UN yaidhinisha kupanuliwa operesheni za EU, Libya

    Jun 15, 2016 03:27

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa sauti moja limepasisha azimio linaloupa idhini Umoja wa Ulaya kuongeza operesheni za vikosi vyake vya majini katika pwani ya Libya, katika Bahari ya Mediterranean.

  • EU yailazimisha mitandao ya kijamii kutia saini sheria ya kukabiliana na mafundisho ya kundi la Daesh

    EU yailazimisha mitandao ya kijamii kutia saini sheria ya kukabiliana na mafundisho ya kundi la Daesh

    May 31, 2016 22:39

    Umoja wa Ulaya unaendeleza juhudi za kudhibiti kikamilifu katika mitandao ya kijamii mafundisho ya ukatili na ubaguzi vinavyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    May 27, 2016 03:21

    Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.

  • Libya yauomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake

    Libya yauomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake

    May 23, 2016 06:42

    Serikali ya Libya imeuomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake kupitia kutoa mafunzo kwa jeshi la majini la nchi hiyo.

  • Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA

    Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA

    Apr 30, 2016 11:47

    Rais Hassan Rouhani ameutaka Umoja wa Ulaya utoe ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusisitizia ulazima wa kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia (JCPOA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS