-
Kongresi ya Marekani yajiandaa kuibana zaidi Iran kwa vikwazo vipya
Mar 24, 2017 02:50Maseneta wa Bunge la Kongresi la Marekani wameandaa muswada wa sheria inayopania kuiongezea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti kwa kufanyia majaribio makombora yake ya balistiki.
-
Israel yakiri kuongezeka harakati ya ususiaji dhidi yake duniani
Mar 21, 2017 00:38Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, vimetangaza ongezeko kubwa la 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel' maarufu kwa jina la BDS.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina natija iyokusudiwa
Mar 16, 2017 03:55Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika nyuga za kisaisa na kiuchumi vitaku na natija ambayo Wamarekani hawakukusudia.
-
Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 15, 2017 09:49Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.
-
EU yarefusha vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2017 01:00Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa umerefusha vikwazo vilivyowekwa na umoja huo kwa shakhsia na mashirika ya Russia na eneo la Crimea kwa muda wa miezi sita yaani hadi kufikia Septemba 15.
-
Jibu baridi la Utawala wa Kizayuni kuhusu kuenea vikwazo dhidi yake
Mar 07, 2017 23:49Kufuatia kuimarika harakati ya kimataifa ya kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel, bunge la utawala huo limepitisha sheria kuwazuia waungaji mkono wa vikwazo hivyo kuingia katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe
Mar 03, 2017 10:07Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.
-
Makamu wa Rais wa Venezuela: US imeniwekea vikwazo kwa kupinga ubeberu
Feb 14, 2017 22:03Makamu wa Rais wa Venezuela, Tareck El Aissami amekosoa vikali hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo eti kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa mihadarati.
-
Guterres ataka kuwekewa vikwazo wanaokiuka makubaliano ya amani Mali
Jan 17, 2017 04:22Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kuwawekea vikwazo wahusika wakuu wa ukiukaji makubaliano ya amani nchini Mali.
-
Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo
Jan 07, 2017 12:18Serikali ya Korea Kaskazini imemwandikia barua António Guterres, Katibu Mkuu Mpya wa Umoja wa Mataifa ikilalamikia hatua ya kuongezwa vikwazo vya umoja huo dhidi yake.