-
Rouhani: JCPOA imeipa uhalali sekta ya nyuklia ya Iran
Apr 10, 2021 08:03Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kupasishwa kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA kuliipa uhalali kamili wa kisheria sekta ya nyuklia ya taifa hili.
-
Iran yazindua mafanikio 133 katika Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia
Apr 10, 2021 08:01Mafanikio 133 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa teknolojia ya nyuklia yamezinduliwa leo katika sherehe maalumu zilizofanyika kwa njia ya video kwa mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia.
-
Iran: Kuchelewa kutuondolea vikwazo ni kwa maslahi ya mradi wetu wa nyuklia
Apr 10, 2021 03:33Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuchelewesha kuliondolea taifa hili vikwazo ni kwa maslahi ya mradi wa nyuklia wenye malengo ya amani wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Khatibzadeh: Huu si wakati mwafaka wa kuitishwa kikao cha JCPOA
Feb 28, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, kwa kutilia maanani misimamo na hatua za karibuni za nchi tatu za Ulaya na Marekani, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaona kuwa huu si wakati mwafaka wa kufanyika kikao kisicho rasmi kilichopendekezwa na Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya baina ya nchi hizo na Tehran kuhusu kadhia ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
AEIO yasema Iran itazindua miradi 50 ya nyuklia karibuni
Feb 09, 2021 23:00Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu itazindua miradi 50 ya mafanikio ya sekta ya nyuklia ya taifa hili karibuni hivi.
-
Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi
Jan 06, 2021 01:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema kuanzia sasa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa inazalisha kilo tisa za urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 kila mwezi.
-
Mkuu wa IAEA: Iran inataka kuona dunia yenye usalama na uthabiti
Dec 17, 2020 04:08Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema hamu kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuona usalama na uthabiti vinatawala duniani kote, na kwamba Tehran iko tayari kufanya mazungumzo amilifu na mataifa ambayo yapo tayari kufuata njia ya mazungumzo.
-
Iran yataka Baraza la Usalama la UN lichunguze mauaji ya Fakhrizadeh
Nov 29, 2020 08:50Naibu Waziri wa Sheria wa Iran ametoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Russia kuanzisha kambi ya jeshi nchini Sudan, itakuwa na meli za nyuklia
Nov 12, 2020 06:44Serikali ya Russia imechapisha hati ya makubaliano yake ya Sudan yanayoiruhusu Moscow kujenga kambi ya kijeshi na misaada ya kilojestiki ya jeshi la majini la nchi hiyo nchini Sudan ambacho kitakuwa na askari na maafisa 300 wa kijeshi.
-
UN yatangaza kuanza kutekelezwa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia
Oct 25, 2020 04:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi nyingine 50 zimepasisha utekelezaji wa mkataba unaopiga marufuku silaha za nyuklia.