-
Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina yakosoa kikao cha Sharm Sheikh
Mar 21, 2023 07:43Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina imekitaja kikao cha Sharam Sheikh nchini Misri kuwa hatua ya hiana dhidi ya taifa la Palestina na usaliti dhidi ya damu iliyomwagwa na mashahidi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ulaya mwaka 2022 iliingiza silaha maradufu
Mar 13, 2023 22:38Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Amani imetangaza kuwa mwaka jana wa 2022 Ulaya ilipokea silaha maradufu; hatua inayoashiria kupatiwa Ukraine shehena kubwa ya silaha kwa kisingizio cha vita vinavyoendelea nchini humo.
-
Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa rasmi mjini Tehran
Feb 19, 2023 01:32Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi alasiri mjini Tehran.
-
Kan'ani: Utawala haramu wa Israel hauna ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran
Feb 13, 2023 09:18Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala haramu wa Israel hauna uwezo wala ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Jeshi la Anga la Iran lazindua kituo cha siri cha ndege chini ya ardhi
Feb 08, 2023 01:12Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuzindua kituo cha ndege kilicho chini ya ardhi ambacho kimepewa jina la "Oqab 44" (Tai 44).
-
Mamia wapoteza maisha katika mtetemeko mkubwa wa ardhi Uturuki, Syria + Video
Feb 06, 2023 04:36Mtemtemeko mkubwa wa ardhi umetikisa maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria na kuua watu wasiopungua 400 huku idadi ya waliopoteza maisha ikitazamiwa kuongezeka.
-
Qalibaf: Umoja kati ya nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri kwenye kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu
Feb 05, 2023 04:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri katika kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu nchini Algeria.
-
Biden aboronga tena: "Zaidi ya nusu ya wanawake katika utawala wangu ni wanawake"
Feb 05, 2023 04:16Rais Joe Biden wa Marekani kwa mara nyingine ameboronga katika hotuba zake kwa kusema: "nusu ya wanawake katika baraza langu la mawaziri ni wanawake".
-
Jimmy Dore: Marekani ndio gaidi mkubwa zaidi duniani
Feb 04, 2023 23:05Msanii mashuhuri wa filamu za kuchekesha wa Marekani ameitaja nchi yake kuwa ndio gaidi mkubwa zaidi duniani.
-
Amir-Abdollahian: Shambulio katika ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan halikuwa la kigaidi
Jan 27, 2023 23:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekanusha vikali kwamba shambulio dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan lilikuwa la kigaidi na akasema: "hatua hii imechochewa na sababu za kibinafsi tu".