-
Mamilioni ya wananchi wa Sudan waandamana dhidi ya serikali ya kijeshi
Jan 18, 2023 08:36Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameandamana Khartoum mji mkuu wa Sudan kwa mwaliko wa kamati ya uratibu wa mapambano katika maandamano yaliyopewa jina la "Tumechoka".
-
VIDEO: Siku ambayo Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya kijeshi ya Marekani huko Ain al-Asad
Jan 08, 2023 06:56Leo tarehe 8 Januari ni siku ambayo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) lilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya "Ain al-Asad" nchini Iraq, shambulio ambalo liliakisiwa sana na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO
Jan 01, 2023 10:16Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 06:26Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
-
Pigo jingine kwa Wazayuni, Morocco yasherehekea kwa bendera ya Palestina, kupanda Kombe la Dunia + Video
Dec 02, 2022 08:01Katika hali ambayo serikali ya Morocco imetangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu na ya Waislamu, wamezidi kuonesha kutokubaliana na uamuzii huo wa utawala wa kifalme wa Morocco.
-
Raisi: Adui ajue kuwa hana nafasi katika nyoyo za wananchi wa Iran + Video
Dec 01, 2022 13:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba hawana na hawatakuwa na nafasi katika nyoyo za watu wa Iran kwa sababu utamaduni wa kujitolea mhanga na muqawama umekita mizizi miongoni mwa Wairani.
-
Waziri Mkuu wa Italia akosoa sera za ukoloni na unafiki wa Ufaransa kuhusu wahamiaji
Nov 20, 2022 07:44Waziri Mkuu wa Italia ameikosoa hadharani Ufaransa kwa mtazamo wake wa kinafiki kuhusu suala la wahamiaji wanaotoka Afrika, ambalo limekuwa mzozo kati ya nchi hizo mbili katika wiki za karibuni huku akifichua sera ya ukoloni ya Paris huko Burkina Faso.
-
Maandamano yaendelea Sudan kulalamikia uingiliaji wa nchi ajinabi
Nov 13, 2022 08:08Maelfu ya watu wameandamana Sudan wakitaka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Aliyemrushia mayai Mfalme Charles kupinga utawala wa kifalme Uingereza, atiwa nguvuni + Video
Nov 09, 2022 13:23Vyanzo vya habari vya Uingereza vimeripoti leo Jumatano kukamatwa kwa mwanamume aliyemrushia mayai Mfalme Charles III na mkewe, Camelia, wakati wa ziara yakke eneo la York.
-
SEPAH: Wananchi wa Iran daima wamekuwa wakiifedhehesha Marekani
Oct 30, 2022 02:31Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesisitiza kuwa, kwa kujitokeza kwao vilivyo katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu; muda wote wananchi wa Iran wamekuwa wakiidhalilisha na kuifedhehesha Marekani na kuthibitisha kivitendo matamshi ya Imam Khomeini MA kuwa Marekani haiwezi kulifanyia taifa la Iran upuuzi wowote.