-
Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video
Sep 07, 2019 12:58Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, awamu ya tatu ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA ilianza jana Ijumaa kwa amri ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Video inayowaonesha wanajeshi wa SEPAH wa Iran wakiionya manuwari ya kivita vya Uingereza isiingilie operesheni ya kuzuia meli ya mafuta ya nchi hiyo
Jul 29, 2019 20:48Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH limesambaza mkanda wa video na sauti wakati jeshi hilo lilipotoa onyo kwa Manuwari ya Kifalme wa Uingereza kwamba ikae mbali na isiingilie operesheni ya kusimamishwa meli ya mafuta iliyokuwa inapeperushwa bendera ya Uingereza katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Video ya makomando wa SEPAH walipoisimamisha meli ya Uingereza Ghuba ya Uajemi
Jul 21, 2019 07:17Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH limesema kuwa halina muhali katika kutekeleza sheria na kulinda mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Muungano vamizi wachoma moto kijiji kizima Yemen + Video, Picha
Jun 16, 2019 10:58Mamluki wa Saudi Arabia wamechoma moto kijiji kizima katika mkoa wa al Hudaida nchini Yemen na kuongeza orodha ya jinai zao dhidi ya wananchi madhlumu wa Yemen, baada ya wavamizi hao kushindwa katika medani za kivita.
-
Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video
Jun 15, 2019 08:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mchango wa Tehran katika kupambana na makundi ya kigaidi na ukufurishaji huko Syria na Iraq na kuongeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani.
-
Waziri Mkuu wa Japan afanya ziara ya kihistoria nchini Iran + Video
Jun 12, 2019 15:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo jioni amempokea rasmi Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe aliyepo hapa nchini kwa ziara rasmi ya kihistoria ya siku mbili. Mapokezi hayo rasmi yamefanyika katika Ikulu ya Sa'dabad hapa Tehran.
-
Mashauriano ya Iran na Ulaya sambamba na safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani mjini Tehran
Jun 10, 2019 12:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Josef Maas Jumatatu ya leo amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya Iran mjini Tehran.
-
UN: Hali ya wahajiri nchini Libya inatia wasiwasi sana + Video
Jun 10, 2019 02:34Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali ya wahajiri nchini Libya inatia wasiwasi mkubwa.
-
Mmoja auawa, 10 wajeruhiwa kwa risasi za polisi nchini Sudan + Video
Jun 02, 2019 11:28Habari kutoka nchini Sudan zinasema kuwa polisi wa jeshi wamewashambulia kwa risasi wananchi walioendeleza maandamano na kukusanyika mbele ya Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo katika mji mkuu Khartoum na kumuua kijana mmoja wa miaka 20 na kujeruhi wengine 10.
-
Hamas walaani uvamizi wa wanajeshi wa Israel ndani ya Msikiti wa al Aqsa + Video
Jun 02, 2019 10:59Mjumbe mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani kitendo cha wanajeshi na walowezi wa Kizayuni cha kuvamia na kuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa na matukufu mengine ya Kiislamu.