-
Makundi ya Palestina yaapa kulipiza kisasi kwa wazayuni cha damu ya Sheikh Khader Adnan
May 02, 2023 03:30Makundi ya muqawama wa Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu ya Sheikh Khader Adnan aliyefia shahidi ndani ya jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Nujabaa ya Iraq: Tutapambana mpaka tuhakikishe hata askari mmoja wa Marekani habakii Iraq
May 01, 2023 22:44Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa amesisitiza kuwa vita dhidi ya wavamizi wa Kimarekani vitaendelea hadi itakapohakikishwa hakuna hata mwanajeshi mmoja wa Marekani aliyesalia katika ardhi ya Iraq.
-
Mashinikizo ya Marekani; kizingiti kikuu cha kufikiwa makubaliano ya Yemen na Saudi Arabia
May 01, 2023 21:51Katika hali ambayo, Saudi Arabia na Yemen zimepiga hatua muhimu kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Yemen, mashinikizo ya serikali ya Marekani kwa utawala wa Riyadh yamekuwa kikwazo na kizingiti kikuu cha kuhitimishwa vita hivyo.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
May 01, 2023 06:42Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Wanajeshi wa Israel washambulia Hospitali Bait Laham na Msikiti wa Al-Aqsa
May 01, 2023 03:53Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameshambulia hospitali moja mjini Bait Laham mapema leo Jumatatu na kurusha mabomu ya kutoa machozi ndani ya hospitali hiyo.
-
Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria
May 01, 2023 03:25Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alitangaza jana Jumapili jioni kwambau kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), ameuawa katika operesheni ya kijasusi ya Uturuki nchini Syria.
-
Yemen: Baraza la Usalama la UN halijawahi kuwa na nia ya kweli ya kurejesha amani nchini Yemen
Apr 30, 2023 22:44Wizara ya Haki za Binadamu ya Yemen imetangaza kwamba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijawahi kuwa mpatanishi asiyeegemea upande wowote na anayetaka kuwepo amani nchini humo.
-
Iran: 'Janga' linalowakumba Wapalestina linakaribia kumalizika
Apr 29, 2023 03:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema ukombozi wa Palestina na mwisho wa hali ya janga ambalo Wapalestina wanakabiliwa nalo unakaribia kwani utawala wa Kizayuni wa Israel unaonekana kuwa dhaifu kuliko hapo awali.
-
Arab League: Rais Bashar al Assad ndiye mshindi wa vita vya Syria
Apr 28, 2023 22:21Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza kuwa, Rais Bashar al Assad ndiye mshindi wa vita nchini Syria na kwamba hatua ya kuipokonya Syria uanachama wake kwenye Arab League ilichukuliwa kwa pupa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na Sayyid Hassan Nasrullah mjini Beirut
Apr 28, 2023 22:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Ijumaa alionana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa.