-
Netanyahu ataka waandamanaji wakandamizwe na jeshi linalokaidi amri zake lichukuliwe hatua
Mar 20, 2023 22:57Duru za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa, Benjamini Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ametoa wito wa kukandamizwa uasi wa jeshi la utawala huo haramu na kuchukuliwa hatua kali na thabiti zaidi dhidi ya waandamanaji wanaopinga serikali yake.
-
Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa
Mar 20, 2023 06:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.
-
Ufunguzi wa ubalozi wa Saudia mjini Damascus baada ya miaka 12
Mar 20, 2023 06:50Vyanzo vya kuaminika vinasema kwamba Saudi Arabia inapanga kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Safari ya Rais Assad UAE: Syria kurejea tena katika Jumuiya ya Arab League
Mar 20, 2023 03:19Rais Bashar al-Assad wa Syria jana aliwasili katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu na kulakiwa rasmi na Rais Mohammed bin Zayed al-Nahyan ikiwa ni ishara ya wazi ya kuhuishwa uhusiano wa Syria na mataifa ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi baada ya zaiidi ya muongo mmoja.
-
Wakuu wa Hizbullah, Jihad Islami wanakutana nchini Lebanon kuratibu mapambano dhidi ya Israel
Mar 20, 2023 00:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyed Hassan Nasrallah, na Mkuu wa Harakati Jihad Islami ya Palestina Ziyad Nakhalah wamejadili juu ya ushirikiano kati ya harakati hizo mbili za mapambano ya Kiislamu katika kukakbiliana na utawala haramu wa Israel na pia wamezungumza kuhusu matukio ya hivi punde katika Asia Magharibi.
-
Wapalestina waanzisha kampeni ya kuusafisha msikiti wa al-Aqsa kuukaribisha mwezi wa Ramadhani
Mar 19, 2023 09:16Mamia ya Wapalestina wakazi wa mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu wameanzisha kampeni ya kuusafisha Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa sambamba na kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Syria: Kuchomwa Qur'ani nchini Ukraine kumefanyika kwa lengo la kugeuza vita vya kisiasa kuwa vya kidini
Mar 19, 2023 02:59Wizara ya Wakfu ya Syria imelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Ukraine, na kutangaza kwamba hatua hiyo imetekelezwa kwa lengo la "kugeuza vita vya kisiasa kuwa vita vya kidini".
-
Muungano wa al Fatah: Marekani haitaki ISIS itokomezwe nchini Iraq
Mar 19, 2023 02:45Mmoja wa viongozi wa Muungano wa al-Fath nchini Iraq ametangaza kuwa Marekani haitaki kuona kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) likiangamizwa kikamilifu nchini Iraq.
-
Kuuliwa shahidi Wapalestina 88 katika muda wa chini ya miezi 3
Mar 18, 2023 22:50Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wamewaua shahidi Wapalestina 88 tangu kuanza mwaka huu wa 2023 hadi sasa.
-
OIC yaitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua kukabiliana na unyama wa Israel huko Palestina
Mar 18, 2023 22:45Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za maana kwa ajili ya kukabilina na hatua mbalimbali zisizo za kibinadamu za utawala haramu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu