-
Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel
Jan 29, 2023 23:16Siku moja tu baada ya kutekelezwa jinai ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin, kijana mmoja wa Kipalestina ametekeleza oparesheni ya kishujaa katika mji mtakatifu wa Quds inayokaliwa kwa mabavu na kusababisha vifo vya Wazayuni 10.
-
Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita
Jan 29, 2023 04:31Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita.
-
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Jan 29, 2023 04:18Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa.
-
Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni
Jan 28, 2023 23:05Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Kuendelea ukandamizaji wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika kukaribia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi
Jan 28, 2023 23:05Katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain unawazuia wafungwa wa kisiasa nchini humo kuwasiliana na kuoana na familia zao katika fremu ya sera zake za ukandamizaji na kuwawekea mbinyo na vizingiti mbalimbali wafungwa wa kisiasa na wapinzani nchini humo.
-
Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin
Jan 28, 2023 08:20Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni 'jibu la moja kwa moja' kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
-
Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina
Jan 28, 2023 04:40Mkuu wa ofisi ya habari ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, misimamo ya Uturuki na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kulaani operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu ni usaliti kwa watu wa Palestina.
-
Wazayuni saba waangamizwa Palestina kaskazini ya Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu
Jan 28, 2023 04:33Duru za habari zimeripoti usiku wa kuamkia leo kuwa, Wazayuni saba wameangamizwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu.
-
Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano
Jan 27, 2023 23:04Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti.
-
Ayatullah Issa Qassim ayataka mataifa ya dunia yaache kuwakingia kifua maadui wa Uislamu
Jan 27, 2023 23:03Ayatullah Issa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Bahrain amezitaka serikali na tawala za mataifa ya dunia kuacha kuwaunga mkono na kuwakingia kifua watu ambao wana uadui na Uislamu.