-
Russia: Mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Syria hayakubaliki hata kidogo
Jul 05, 2022 21:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish
Jul 05, 2022 03:05Jumamosi iliyopita harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilirusha ndege tatu zisizo na rubani katika anga eneo lenye utajiri wa gesi la Karish.
-
Matamshi ya Fuad Hussein kuhusu upatanishi wa Iraq kati ya Iran, Misri na Jordan
Jul 04, 2022 20:26Matamshi ya hivi karibuni ya Fuad Hussein, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iraq katika mahojiano na televisheni ya Saudi Arabia ya al-Arabiya kuhusu upatanishi wa nchi hiyo kati ya Iran, Misri na Jordan ni ya kuzingatiwa.
-
Balozi wa Syria Moscow: Magharibi na Uturuki zinawatuma wapiganaji wa ISIS nchini Ukraine
Jul 04, 2022 09:38Balozi wa Syria nchini Russia amesema kuwa Damascus ina habari kwamba nchi za Magharibi na Uturuki zinatuma wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Ukraine.
-
Saudia inakaribia kuwanyonga vijana watano raia wa nchi hiyo
Jul 03, 2022 23:02Utawala wa Aal Saud unaendelea kutekeleza vitendo vyake viovu na vilivyo kinyume cha sheria kwa kuwafunga jela raia kinyume cha sheria kutokana na umri wao mdogo, kwa tuhuma zisizo na msingi.
-
Vikosi vya muungano vamizi wa Saudia na vitendo vya uharamia huko Yemen
Jul 03, 2022 22:57Msemaji wa Shirika la Mafuta la Yemen amesema kuwa, muungano vamizi nchini humo unaoongozwa na Saudi Arabia mara hii umejikita katika vitendo vya uharamia na hivyo kukiuka mapatano ya usitishaji vita huko Yemen.
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita
Jul 03, 2022 06:45Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.
-
Tahadhari ya UN kuhusu maafa ya binadamu huko Ukanda wa Gaza
Jul 03, 2022 05:38Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba kuzingirwa kwa miaka 15 kwa Ukanda wa Gaza kumesababisha maafa makubwa katika eneo hilo.
-
Nabih Berri: Kupuuzwa kadhia ya Quds kutakuwa na madhara makubwa
Jul 03, 2022 04:57Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kuwa, kupuuzwa kadhia ya mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu na Israel, kutakuwa na madhara makubwa hasa kwa mataifa yote ya Kiarabu.
-
HAMAS: Israel inapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuishambulia Syria
Jul 03, 2022 03:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuushambulia mji bandari wa Syria.