-
Israel yaonywa kuhusu kujaribu kubadilisha muundo wa Msikiti wa Aqsa
Jul 02, 2022 23:55Mabadiliko yoyote ambayo utawala haramu wa Israel unapanga kuyatekeleza katika hali ya miongo kadhaa iliyopita katika ukuta wa eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) yanaweza kuzua vita vya kidini katika eneo hilo.
-
Wanawake wa Afghanistan wakosoa kutoalikwa katika kikao cha Loya Jirga
Jul 02, 2022 21:43Wanawake wa Afghanistan wamekosoa kufanyika kikao cha maulamaa wa kidini wa Baraza la Ushauri kwa ajili ya amani ya Afghanistan (Loya Jiirga) bila ya wanawake wa nchi hiyo kuhudhuria. Kutoshirki wanawake katika kikao hicho kunamaanisha kupuuzwa nusu ya jamii ya watu wa Afghanistan.
-
Ukatili ambao Wazayuni wanawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Jul 02, 2022 07:18Mwakilishi wa kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, ukatili wa mtawalia na wa kimfumo ambao utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya Gaza ni janga na maafa matupu
Jul 02, 2022 03:25Ripoti iliyotolewa jana Ijumaa na Umoja wa Mataifa imeitaja hali ya sasa katika eneo la Ukanda wa Gaza kuwa ni janga tupu.
-
Syria: Vikwazo vya UN viondolewe, Marekani na Uturuki zikomeshe uvamizi
Jun 30, 2022 20:34Serikali ya Syria, kwa mara nyingine tena, imetoa wito wa kuondolewa mara moja na bila ya masharti vikwazo vya upande mmoja na kuondoka vikosi vamizi vya askari wa Marekani na Uturuki katika ardhi yake.
-
Hamas yawataka Wapalestina kudumisha mapambano ya silaha dhidi ya Israel
Jun 30, 2022 09:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) yenye makao yake katika mji wa Gaza imewahimiza Wapalestina kuendeleza mapambano ya silaha dhidi ya uvamizi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, baada ya mmoja wa makamanda wa jeshi la utawala huo ghasibu kujeruhiwa kwa risasi katika mapigano huko Nablus.
-
Ansarullah: Uwezo wa jeshi la Yemen umepiku wa nchi nyingi za Kiarabu
Jun 30, 2022 03:39Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza hatua kubwa iliyopigwa na nchi hiyo katika kujizalishia makombora ya balestiki ya masafa marefu na kusisitiza kuwa, uwezo wa jeshi la Yemen unazipiku nchi nyingi za Kiarabu.
-
Uchunguzi wa maoni: Wapalestina wengi wanaunga mkono mapambano ya silaha dhidi ya Israel
Jun 29, 2022 21:50Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliyofanyika huko Palestina yanaonyesha ongezeko la uungaji mkono wa Wapalestina kwa mapambano ya silaha dhidi ya utawala haramu wa Israel na kuondolewa madarakani Mahmoud Abbas kama mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Changamoto kuu zinazomkabili Najib Miqati katika kuunda serikali mpya ya Lebanon
Jun 29, 2022 21:46Tangu siku ya Alkhamisi ya tarehe 23 Juni, Rais Michel Aoun wa Lebanon alimkabidhi Najib Miqati, mfanyabiashara mkubwa anayetokea mji wa Tripoli na mwenye umri wa miaka 66, jukumu la kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Kijana wa Kipalestina auawa katika hujuma ya Israel huko Jenin
Jun 29, 2022 06:26Wanajeshi wa utawala katili wa Israel wamempiga risasi na kumuua kijana wa Kipalestina walipokuwa wakivamia sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo katika wiki za hivi karibuni.