-
Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia
Mar 15, 2017 06:59Wanawake wa Yemen wamefanya maandamano na kukita kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Sana’a, kuutaka umoja huo usitishe jinai na uvamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq
Feb 20, 2017 16:00Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu
Feb 02, 2017 14:01Muungano wa makundi ya wanawake kwa jina la "Hijab Rights Advocacy Initiative" wa nchini Nigeria jana ulilaani kile ulichokitaja kuwa kuendelea kukandamizwa wanawake wanaovaa vazi la stara la hijabu, na kulitaka bunge la nchi hiyo kubuni sheria ili kukomesha unyanyasaji huo wa wanawake wanaovaa hijabu.
-
Abuja: Wanawake wa Boko Haram wanatumia vitoto vichanga katika mashambulizi ya kigaidi
Jan 25, 2017 03:00Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, baadhi ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanatumia watoto wachanga wanaonyonya kwa ajili ya kuwahadaa askari usalama na kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Morocco yapiga marufuku uzalishwaji na uuzaji wa burqa
Jan 11, 2017 15:20Serikali ya Morocco imepiga marufuku uzalishaji na uuzaji wa vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Austria kupiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa hijabu
Jan 07, 2017 07:21Waziri wa Mambo ya Nje na Utangamano wa Austria ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la hijabu linalovaliwa na wanawake Waislamu katika maeneo ya umma nchini humo.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu zatahadharisha kuhusu hali ya wanawake Nigeria
Dec 06, 2016 03:37Jumuia mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanawake nchini Nigeria.
-
Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atupwa jela miezi 18 kwa ubakaji Israel
Nov 23, 2016 04:52Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja na miezi sita, kiongozi wa kidini wa Kizayuni kwa kuwabaka wanawake watatu.
-
Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke
Nov 16, 2016 07:55Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu imempa heshima kubwa sana mwanamke na kutukuza nafasi yake muhimu katika jamii.
-
Maelfu ya wanawake kuandama baada ya kuapishwa Donald Trump
Nov 14, 2016 15:30Wanawake zaidi ya 66,000 wa Marekani wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika Januari 21 mwakani, siku moja baada ya kuanza kazi rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump katika Ikulu ya White House.