-
Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania
Oct 12, 2016 07:35Wanawake kutoka nchi kadhaa za Afrika wanakongamana mjini Moshi nchini Tanzania katika mkutano wa kujadili haki za mwanamke, hususan haki ya kumiliki ardhi na maliasili.
-
Waziri Mkuu wa Ufaransa aunga mkono marufuku ya 'burqini'
Aug 18, 2016 03:39Waziri Mkuu wa Ufaransa ameunga mkono hatua ya mameya wa miji minne nchini humo kupiga marufuku vazi la stara la kuogelea linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu linalofahamika kama 'burqini'.
-
Kongamano la wawekezaji wanawake wa Kenya na Rwanda-Kigali
Jul 25, 2016 08:00Rwanda ni mwenyeji wa kongamano la kwanza la ujasiriamali la kujadili changamoto wanazopitia wafanyabiashara wanawake katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Wanawake Zimbabwe waandamana kumpinga Rais Mugabe
Jul 17, 2016 07:45Mamia ya wanawake nchini Zimbabwe jana walifanya maandamano dhidi ya serikali ya Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo kwa kupiga masufuria; kitendo kinashoashiria namna nchi hiyo inavyokabiliwa na njaa na matatizo ya kiuchumi.
-
Iran, Afrika Kusini kushirikiana kuinua hadhi ya wanawake
Apr 25, 2016 04:04Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya wanawake Bi. Shahindokht Molaverdi amesema, Iran na Afrika Kusini zitashirikiana katika kuinua hadhi ya wanawake.
-
Sisitizo juu ya nafasi chanya ya wanawake katika kuleta uthabiti barani Afrika
Mar 29, 2016 12:17Umoja wa Mataifa umesisitiza juu ya ushiriki zaidi wa wanawake barani Afrika katika masuala ya kijamii na kisiasa kwa shabaha ya kuleta amani na uthabiti barani humo.
-
Mwanadiplomasia wa UN akosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia
Mar 02, 2016 14:11Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wanawake (UN Women) amekosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia na kusema ni muhali kwa sauti za wanawake kusikika vyema kutokana na uwakilishi wao mdogo bungeni.
-
Huffington Post: Idadi ya wanawake wakazi asili wa Canada waliouawa ni kubwa zaidi
Feb 19, 2016 03:39Gazeti la Marekani la The Huffington Post limeripoti kuwa idadi ya wanawake asilia wa Canada waliouawa au kutoweka ni kubwa zaidi ya takwimu zilizokadiriwa hapo awali.
-
Wanawake na watoto, wahanga wakuu wa migogoro ya Afrika
Feb 13, 2016 15:22Wanawake na watoto wametajwa kuwa ndiyo wahanga wakuu wa migogoro inayozikumba nchi kadhaa za Afrika.