-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mtazamo wa Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kimaslahi
Dec 27, 2023 14:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu mapema leo amehutubia maelfu ya wanawake na wasichana ambako amebainisha mtazamo wa kimantriki wa Uislamu kuhusu nafasi ya wanawake katika familia na shughuli kijamii, siasa na uongozi katika ngazi mbalimbali na kusisitiza kuwa: Katika Uislamu, njia ya shughuli zozote za kijamii ziko wazi kwa wanawake, sawa na ilivyo kwa wanaume, kwa sharti kwamba mambo mawili muhimu yazingatiwe, yaani suala la familia na kuchunga hatari ya mvuto wa kijinsia.
-
Mama wa miaka 70 Uganda awa mwanamke mkongwe zaidi kujifungua Afrika
Dec 01, 2023 06:47Ajuza wa miaka 70 huko nchini Uganda ameingia katika madaftari ya kumbukumbu kwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mkubwa kujifungua barani Afrika.
-
Gabon yatangaza Baraza la Mawaziri, mwanamke apewa wizara ya ulinzi
Sep 11, 2023 06:59Serikali ya mpito ya Gabon imetangaza Baraza jipya la Mawaziri, na kumteua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi.
-
Mwanamke mweusi mjamzito auawa kwa kupigwa risasi na askari polisi Marekani
Sep 02, 2023 06:38Polisi katika jimbo la Ohio nchini Marekani wametoa taswira ya filamu ya kamera zinazovaliwa na askari polisi inayoonyesha mwanamke mweusi mjamzito aitwaye Ta’Kiya Young akipigwa risasi, jambo ambalo limeibua taharuki na hasira ya umma huku kukitolewa wito mpya wa kukomeshwa ukatili mbaya unaofanywa na polisi wa nchi hiyo.
-
Kuaga kwa uchungu kwa mwanamke na msichana wa Kipalestina, na kimya cha Wamagharibi mbele ya jinai ya Kizayuni
May 11, 2023 03:07Katika mashambulizi yaliyofanywa juzi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ambapo Wapalestina 15 waliuawa shahidi, zilichapishwa picha za uchungu huzuni za mwanamke na msichana mdogo wakiwaaga watu wa familia zao waliouliwa na jeshi la Israel, jambo ambalo limeumiza nyoyo na kuwatia watu simanzi na huzuni kubwa.
-
Trump ashtakiwa rasmi katika kesi ya utoaji "kiziba mdomo" kwa mwanamke muigizaji
Mar 31, 2023 07:10Mahakama kuu ya New York imemfungulia mashtaka rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ya kosa la kulipa pesa za kiziba mdomo kwa mwanamke muigizaji wa filamu za ngono kuelekea uchaguzi wa rais wa mwaka 2016.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake
Mar 09, 2023 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 08:13Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Mwanamke mmoja anaaga dunia ndani ya kila dakika 2 kwa ujauzito au akijifungua
Feb 24, 2023 03:07Umoja wa Mataifa umesema mwanamke mmoja anafariki dunia ndani ya kila dakika mbili, kutokana na matatizo anayokumbana nayo akiwa mjamzito au wakati wa kujifungua.
-
Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru
Jan 27, 2023 02:47Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia suala la wanawake kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.