-
China: Marekani ndiyo sababu kubwa zaidi ya kuvurugika nidhamu ya nyuklia duniani
Feb 12, 2026 02:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa mjibizo kwa madai ya Marekani kwamba nchi hiyo ilifanya jaribio la nyuklia mnamo mwaka 2020 na kusisitiza: "Marekani ndiyo chanzo kikubwa zaidi cha kuvurugika kwa nidhamu ya nyuklia duniani na utulivu wa kimkakati wa kimataifa."
-
Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni 'watoto wadogo'
Feb 11, 2026 23:01Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini ya malezi na matunzo ya mzazi wao wakatafute kazi.
-
Kashfa ya Epstein ilivyofichua mmomonyoko wa kimaadili katika nchi za Magharibi
Feb 11, 2026 22:59Wimbi la kujiuzulu linaloshuhudiwa huko Downing Street, kuanzia mkuu wa wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hadi mkurugenzi wake wa mawasiliano, ni ishara za nje za mgogoro mkubwa wa kimaadili miongoni mwa wasomi na viongozi wa Magharibi.
-
Kengele ya hatari ya Russia kuhusu matokeo mabaya ya chokochoko yoyote dhidi ya Iran
Feb 11, 2026 06:59Serikali ya Russia imeonya kuhusu matokeo mabaya ya kuanzisha chokochoko yoyote dhidi ya Iran.
-
Rais wa Colombia asema amenusurika jaribio la mauaji
Feb 11, 2026 06:02Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema alinusurika jaribio la mauaji jana Jumanne, baada ya miezi kadhaa ya maonyo kuhusu njama inayomlenga ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
-
Maelfu waandamana Australia kupinga ziara ya rais wa utawala wa Israel
Feb 11, 2026 03:32Ziara rasmi ya rais wa utawala wa Israel, Isaac Herzog, nchini Australia ilikumbwa na maandamano makubwa siku ya Jumatatu, huku maelfu ya waandamanaji wakijitokeza katika miji kadhaa, hali iliyopelekea kuwepo makabiliano na polisi.
-
Mgombea ugavana wa Republican huko Florida: Ukuta wa Kuomboleza huko Israel ni ukuta wa kijinga
Feb 11, 2026 03:26Mgombea wa chama cha Republican katika nafasi ya gavana wa Florida, James Fishbach, amezua mzozo wa kisiasa baada ya shambulio lake la moja kwa moja dhidi ya Ukuta wa Magharibi (Wailing Wall) na ahadi yake ya kukata uhusiano wote wa kiuchumi na Israel kama atashinda kiti hicho.
-
Ramaphosa na Putin wajadili suala la kuhitimisha vita kati ya Russia na Ukraine
Feb 11, 2026 03:25Rais wa Vladimir Putin wa Russia amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ambapo pande hizo mbili zimejadili kuhusu suluhu inyoweza kufikiwa nchini Ukraine.
-
Macron: Utawala wa Trump una uadui na Umoja wa Ulaya na unataka kuuvunja
Feb 11, 2026 03:25Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amesema kwamba utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump unaonyesha uadui dhidi ya Umoja wa Ulaya na unataka kuuvunja.
-
Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya 'kuabudu shetani' ya watu mashuhuri wa Magharibi
Feb 09, 2026 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake ni ushuhuda wa kuporomoka kimaadili shakhsia muhimu na maarufu wa Magharibi.