-
Hatimaye Ronaldo ajiunga na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia
Dec 31, 2022 02:09Mchezaji mahiri wa soka Cristiano Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba utakaodumu hadi 2025.
-
Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil
Dec 31, 2022 01:47Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana wanasiasa na wanasoka kote duniani kuomboleza kifo cha Pele.
-
CAF: Pele atakumbukwa daima barani Afrika
Dec 31, 2022 01:44Patrice Motsepe, Rais wa Shirikisho la Kandanda barani Afrika (CAF) amesema kuwa, nyota wa kandanda Pele, alikuwa na ''msukumo wa kipekee'' kwa bara la Afrika ambao utaishi milele kwenye mioyo ya wapenzi wa mpira wa miguu.
-
Dunia yaendelea kumuomboleza Pele, akumbukwa kwa wema
Dec 30, 2022 04:33Vigogo wa soka na watu mbali mbali duniani wanaendelea kutuma salamu za rambirambi na pole kufuatia kifo cha Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil ambaye anatajwa kuwa mwanasoka bora zaidi katika historia.
-
Gwiji wa soka duniani, Pele, afariki akiwa na umri wa miaka 82
Dec 29, 2022 23:32Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil ambaye anatajwa kuwa mwanasoka bora zaidi katika historia, ameaga dunia.
-
Erdogan: Ronaldo alikalishwa benchi Kombe la Dunia kutokana na uungaji mkono kwa Palestina
Dec 26, 2022 08:18Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amedai kuwa nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo alipigwa marufuku ya kisiasa wakati wa michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 iliyomalizika hivi karibuni nchini Qatar kwa kuunga mkono Palestina.
-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 04:09Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
Iran: Kufanyika Kombe la Dunia kwa mafanikio ni fakhari kwa nchi za Kiislamu
Dec 19, 2022 23:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kufanyika kwa mafanikio michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar ni jambo la fakhari kwa nchi za Kiislamu.
-
Argentina bingwa wa soka Kombe la Dunia 2022
Dec 18, 2022 15:23Timu ya taifa ya soka ya Argentina imetwaa Kombe la Dunia 2022 baada ya kuwasinda mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti.
-
Morocco yawashtaki waamuzi wa mechi ya nusu fainali Kombe la Dunia, yasema waliipendelea Ufaransa
Dec 16, 2022 04:31Shirikisho la Soka la Morocco limewasilisha mashtaka dhidi ya mwamumuzi wa mechi ya nusu fainali kati ya timu ya taifa ya nchi hiyo na Ufaransa katika mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.