-
Wazayuni: Katika Kombe la Dunia la Qatar, tumejua ni kiasi gani tunachukiza
Nov 28, 2022 02:32Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeashiria matatizo makubwa yanayowakumba waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea hivi sasa nchini Qatar na kuandika, katika mashindano haya tumeelewa ni kiasi gani hatupendwi na tunachukiza vibaya katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kombe la Dunia Qatar, fursa kwa watu wa mataifa ya Kiarabu kuonyesha wanavyouchukia utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 28, 2022 02:29Moja ya matukio ya kuvutia katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar ni kukataa wananchi wa mataifa mbalimbali ya Kiarabu kuhojiwa na vyombo vya habari vya Israel na vilevile kuiunga mkono Palestina dhidi ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Takriban watu 900 walisilimu pambizoni mwa Kombe la Dunia, Qatar
Nov 27, 2022 07:51Hadi sasa watu 887 kutoka nchi tofauti wamesilimu kando ya Kombe la Dunia la mwaka huu wa 2022.
-
Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele
Nov 25, 2022 12:58Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.
-
Mzayuni: Tusijidanganye, Waarabu hawaupendi utawala wa Kizayuni
Nov 25, 2022 07:24Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetuma timu kadhaa za waandishi na wataalamu wa vyombo vya habari kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar; Miongoni mwa waandishi hao ni "Ohad Ben Hamo," mwandishi wa habari wa Israel ambaye anajulikana kuwa ni mtaalamu wa masuala ya Waarabu na Wapalestina.
-
Mashabiki wa soka waendelea kuiunga mkono Palestina katika Kombe la Dunia
Nov 24, 2022 07:32Mashabiki wa soka wanaoshuhudia fainalii za mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar wameendelea kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina.
-
Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel
Nov 21, 2022 11:25Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa mashirika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Rais wa FIFA: Hakuna pombe viwanjani wakati wa Kombe la Dunia
Nov 20, 2022 02:44Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) amepuulizia mbali mashinikizo ya kutaka kuruhusiwa pombe viwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza leo nchini Qatar.
-
Timu ya kandanda ya Iran yawasili Qatar kushiriki Kombe la Dunia
Nov 15, 2022 03:49Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasili Doha, mji mkuu wa Qatar kwenda kuweka kambi ya kujianjdaa kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza kutifua mavumbi wiki ijayo.
-
Clopp: Acheni kuingiza siasa katika mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022
Nov 07, 2022 07:06Kocha mkuu wa timu ya soka ya Liverpool nchini Uingereza, Jurgen Klopp, amewakemea wale wanaowataka wachezaji wa kambumbu kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar kuchukua msimamo na kupinga masuala ya haki za binadamu na kutoa madai dhidi ya Qatar, akisema matakwa hayo yanapaswa kusitishwa.