-
Arsenal yaigaragaza Manchester United 3-1
Sep 04, 2023 04:45Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana iliendeleza matokeo mazuri ya msimu huu wa Ligi Kuu ya EPL baada ya kuwatandika watani wao wa jadi Manchester United mabao 3 kwa moja la kufutia machozi.
-
Mwanasoka wa kwanza aliyevalia Hijabu ashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake
Jul 25, 2023 08:54Nouhaila Benzina amekua mwanasoka wa kwanza wa kike aliyevalia Hijabu kushiriki katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake alipocheza mechi ya kwanza ya timu ya Morocco dhidi ya Ujerumani.
-
Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka
Jun 30, 2023 07:39Mahakama Kuu ya Utawala nchini Ufaransa imetoa kibali kwa Shirikisho la Soka la nchi hiyo cha kupiga marufuku vazi la hijabu katika mashindano ya soka ya wanawake.
-
Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023
Jun 12, 2023 08:20Klabu ya Al-Ahly ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Mafarao hao wa Misri wametwaa kombe hilo la kibara, licha ya mchuano wa fainali kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 26, 2023 01:48Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Viongozi wa nchi, nyota wa soka walaani ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinícius Júnior Uhispania
May 23, 2023 13:06Matusi ya ubaguzi wa rangi yaliyotolewa dhidi ya mwanasoka wa Brazil Vinícius Júnior katika ligi ya soka ya Uhispania yamekosolewa na kulaaniwa vikali na viongozi wa nchi, makocha na nyota mbalimbali wa mchezo huo unaopendwa zaidi duniani kote.
-
Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya
May 18, 2023 11:02Timu ya soka ya Manchester City ya Uingerezi imefanya vyema kwa kiwango cha hali ya juu na kuwazidi nguvu mabingwa Real Madrid ya Uhispania katika mchezo wa marudio wa nusu ya Klabu Bingwa barani Ulaya.
-
Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali
May 18, 2023 10:34Baada ya miongo mitatu, klabu ya Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya mashindano makubwa ya vilabu barani Afrika.
-
Sadio Mane akabiliwa na adhabu baada ya kumtandika ngumi mchezaji mwenzake
Apr 13, 2023 16:00Bayern Munich imemsimamisha mshambuliaji Sadio Mane raia wa Senegal baada ya kumpiga usoni mchezaji mwenza Leroy Sane kufuatia kichapo cha Jumanne cha Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City.
-
Watu wenye silaha watishia kumuua nyota wa soka duniani Lionel Messi
Mar 03, 2023 07:01Watu wawili wenye silaha wamefyatua risasi zisizopungua kumi na kuacha ujumbe wa vitisho kwa nyota wa soka wa Argentina Lionel Messi katika uvamizi wa duka kubwa linalomilikiwa na wakwe zake mjini Rosario, Argentina. Maafisa wa vyombo vya mahakama wa mji huo wamelielezea tukio hilo lililotokea Alkhamisi asubuhi kuwa ni la kigaidi.