-
Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano
Jan 03, 2023 09:17Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo, na karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo mwingine wa kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, ambapo katika mfululizo huu wa tatu tutatalii moja ya vipindi maalumu vya maisha ya kamanda huyo.
-
Mukhtasari wa Maisha na Historia ya Shahidi Haj Qassem Soleimani
Jan 01, 2023 12:22Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya kutoka hapa mjini Tehran.
-
Kumbukumbu ya Siku ya Kuanzishwa Harakati ya Kupambana na Ujinga nchini Iran
Dec 31, 2022 13:20Moja kati ya haki za msingi za binadamu katika jamii yoyote ile ni kujua kusoma na kuandika.
-
Hamasa ya tarehe 9 Dei; Siku ya Ung'amuzi na Muono wa Mbali
Dec 31, 2022 08:22Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Issa Masih (as)
Dec 30, 2022 11:04Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasiklilizaji popote pale mlipo. Karibu kkutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujienii kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih (as) Mtume na mja wa Mwenyezi Mungu. Nataraji mtakuwa pamoja nami hadi mwisho wa dakika hizi chache. Karibuni.
-
Kombe la Dunia Qatar 2022, uwanja wa kutangaza uungaji mkono kwa Palestina
Dec 15, 2022 08:19Wakati tunakaribia siku za mwisho za mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022, wimbi la uungaji mkono wa watu wa Qatar, Waislamu na wapenda haki kote duniani kwa Palestina, limekuwa la kushangaza na kusisimua sana.
-
Maalumu Siku ya Kufa Shahidi Hadhrat Zahra al Batul (as)
Dec 08, 2022 09:06Tarehe 13 Jumadil-Awwal, ni siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi binti wa Mtume wetu, Muhammad al Mustafa (saw), Bibi Fatimatu Zahra (as) na siku ya maombolezo ya Waislamu hususan wapenzi wa Ahlul Bait (as).
-
Mashindano ya makampuni ya teknolojia kwa ajili ya kuwajasisi wateja wao
Nov 24, 2022 09:13Mitandao ya kijamii, ambayo imeteka akili na nyoyo za watumiaji, ni vyombo vya habari vinavyoathiri miundo ya kijamii, kitamaduni, kisiasa na kiuchumi ya jamii mbalimbali.
-
Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Nov 24, 2022 08:59Matukio ya ndani ya miezi miwili iliyopita nchini Iran yamezifanya nchi za Ulaya zichukue hatua za kihasama za kuiwekea vikwazo na kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuendelea kwa safari ya kukomesha utumwa nchini Marekani
Nov 19, 2022 14:56Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha Makala ya Wiki ambacho leo kitazungumzia ubaguzi na ubaguzi wa rangi wa kimfumo huko Marekani.