-
Mtazamo Mpya wa Wanawake Kuhusu Vazi la Hijabu
Nov 14, 2022 10:25Vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu, ni moja na maudhui zinazozusha mijadala na mivutano mingi katika zama hizi.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibu nchini Iran (5-Nafasi ya Mwanamke katika Uislamu)
Nov 14, 2022 10:16Uislamu kama dini kamilifu zaidi ya mbinguni, unatetea haki za wanawake zaidi ya dini nyingine, unatambua uhuru wake na unampa maisha yake halisi.
-
Ugaidi wa ISIS unavyohudumia maadui wa taifa la Iran
Nov 03, 2022 11:08Jumatano, tarehe 27 Oktoba, damu ya Waislamu waliokuwa wamekwenda kuzuru na kufanya ibada katika Haram tukufu ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ahmad Ibn Musa (as) huko Shiraz kusini mwa Iran, ilimwagwa katika eneo hilo tukufu ambapo gaidi asiye na moyo wa kibinadamu wa kundi la Daesh aliwamiminia risasi ovyo waumini waliokuwa wakitekelea Swala ya Magharibi na kuua 15 Miongoni mwao.
-
Fatima Maasuma, Kigezo cha Elimu na Utakasifu
Nov 03, 2022 06:53Tarehe 10 Rabiuthani ulimwengu wa Kiislamu unakuwa katika makiwa na msiba wa kuondokewa na mwanamke adhimu ambaye katika siku za mwishoni mwa umri wake, aliipamba ardhi ya Iran yaani mji wa Qum baada ya kuelekea katika eneo hilo na kufariki dunia katika mji huo.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Hassan al Askari AS + SAUTI
Nov 02, 2022 08:11Assalaam Aleikum Wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni tusikilize kwa pamoja kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka uzawa wa mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume SAW al Imam Hassan Askari AS.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibu nchini Irani (4- Mwanamke wa Irani, hadhi na thamani yake)
Nov 01, 2022 15:21Mwanamke ni kiumbe wa Mwenyezi Mungu ambaye amepewa nafasi yenye thamani kubwa ya kuwa mama.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Irani (3- Mipango ya Magharibi ya kuzusha machafuko nchini Irani)
Oct 23, 2022 11:27Matukio ya hivi karibuni nchini Iran yamekuwa kisingizio cha nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kuzidisha au kuchochea machafuko na ghasia.
-
BBC, karne moja ya huduma na uaminifu kwa serikali ya Uingereza
Oct 20, 2022 08:48"Tom Mills, mwanasosholojia na mwandishi wa Kiingereza, anasema katika kitabu "The BBC: Myth of a Public Service" kwamba BBC daima imekuwa ikisema hewallah na imekuwa hadimu mtiifu kwa wale walio madarakani..."
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (2-Kuigawa Iran, lengo kuu la kistratijia la maadui)
Oct 19, 2022 08:57Moja ya malengo ya kistratijia ya maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu tangu ushindi wa mapinduzi hayo Februari 1979 limekuwa ni kuuangusha mfumo wa Kiislamu na kuigawa Iran.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.