• Akhlaqi Katika Uislamu (40)

    Akhlaqi Katika Uislamu (40)

    Nov 10, 2022 17:07

    Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 40 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia nukta nyingine za kiuchumi za Akhlaqi katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.

  • Ufufuo na Marejeo ya Mja kwa Allah (17)

    Ufufuo na Marejeo ya Mja kwa Allah (17)

    Oct 13, 2016 12:25

    Katika makala ya wiki iliyopita tulizungumzia taathira ya amali na matendo mema na mabaya ya mja katika hatima yake. Makala yetu ya leo itazungumzia ulimwengu wa Barzakhi ambao ndio nyumba ya kwanza ya mwanadamu baada kifo na kufariki dunia.

  • Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu kwa Mola (16)

    Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu kwa Mola (16)

    Sep 28, 2016 09:18

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala hii ambayo hukujieni kila wiki.  

  • Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (13)

    Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (13)

    Aug 23, 2016 09:10

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Hii ni sehemu ya 13 ya kipindi cha Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah. Katika vipindi kadhaa vilivyopita tulizungumzia hakika ya mauti.

  • Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (12)

    Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (12)

    Jul 10, 2016 06:36

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Katika Makala iliyopita tulisema dunia ni utangulizi wa Akhera na wenzo wa kupata saada na ufanisi wa milele. Dunia ni sehemu ya kazi na amali na Akhera ni mahala pa kuchuma na matokeo ya kazi na amali. Vilevile tulisisitizia kuwa, kutadabari na kufikiria daima suala hilo la ufufuo huwa na taathira kubwa katika maisha ya kidunia ya mwanadamu. Hata hivyo hapana budi kuzingatia njia ya kati na kati na kutochupa mpaka katika suala hili.

  • Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu (11)

    Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu (11)

    Jul 10, 2016 06:31

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine na kipindi chetu cha leo. Katika kipindi kilichopita tulisema kwamba, dunia ni utangulizi wa harakati na safari ya mja kuelekea kwenye ulimwengu wa milele, usio na mwisho na wa kudumu.

  • Ufufuo na Safari ya Kuelekea kwa Allah (10)

    Ufufuo na Safari ya Kuelekea kwa Allah (10)

    Jul 10, 2016 06:29

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya Makala hii inayozungumzia hatima ya mwanadamu na safari yake ya kurejea kwa Mola Muumba. Katika Makala ya wiki iliyopita tulisema kuwa, dunia ni shamba la Akhera na kwamba matunda ya dunia yanachumwa huko katika ulimwengu mwingine.

  • Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu kwa Allah (9)

    Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu kwa Allah (9)

    Jul 10, 2016 06:27

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni wakati mwingine umewadia wa kuwa nanyi wapenzi wasikilizaji katika dakika chache za kipindi hiki cha kila wiki. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia maudhui ya kifo na mauti na maisha ya milele ya wanadamu. Tulisema kuwa, kupitia kifo na mauti, mwanadamu huhamia katika ulimwengu mwingine wa Akhera katika safari yake ya kufikia ukamilifu.

  • Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (8)

    Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (8)

    Jun 07, 2016 08:33

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachozungumzia maadi na safari ya mja kurejea kwa Mola Muumba. Katika baadhi ya vipindi vilivyopita tulisema kuwa, itikadi ya kuwepo ulimwengu wa milele ni itikadi ya kifitra na kimaumbile.

  • Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (7)

    Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (7)

    Jun 07, 2016 08:31

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni wakati mwingine umewadia wa kuwa nanyi katika dakika chache za kipindi chetu cha leo cha ufufuo na safari ya mja kurejea kwa Mola Muumba. Katika vipindi kadhaa vilivyopita tulizungumzia suala la mauati na maisha ya milele ya mwanadamu na kusema kuwa, itikadi ya kuwepo ulimwengu wa Akhera ni itikadi ya kimaumbile iliyopo katika fitra ya mwanadamu.