-
Uchambuzi wa mienendo ya Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: "Wewe Trump! Unayoyafanya ni upumbavu mtupu."
May 10, 2018 08:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, jana Jumatano tarehe 9 Mei alitembelea Chuo Kikuu cha Walimu kwa mnasaba wa Wiki ya Mwalimu.
-
Kiongozi: Msiziamini nchi 3 za Ulaya katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 14:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria baadhi ya matamshi kuhusu Iran kuendelea kuwepo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na nchi tatu za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuhusu kufanya mazungumzo na nchi tatu za Ulaya, haipaswi kuziamiani na katika kila mapatano lazima kuwepo dhamana ya kweli na ya kivitendo la sivyo haiwezekani kuendelea kwa hali iliyopo."
-
"Ghuba ya Uajemi" (Persian Gulf); Jina Litakalobaki Milele Katika Kurasa za Historia
May 01, 2018 08:35Ni matumaini yangu kuwa hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Jumatatu ya tarehe 30 Aprili ilisadifiana na siku ya mwisho ya kuondoka Wareno baada ya kutimuliwa kwenye eneo la maji ya kusini mwa Iran. Kwa mnasaba wa tukio hilo, siku hii inajulikana katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi". Baada ya utangulizi huo mfupi nakuomba sasa ujiweke tayari kusikiliza yale niliyokuandalia kwa mnasaba wa siku hiyo.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui
May 01, 2018 07:16Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Ulimwenguni kwamba kuna udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui.
-
Kiongozi: Mguu wa Marekani utakatwa katika eneo
Apr 30, 2018 12:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, "yule ambaye anapaswa kuondoka eneo la Asia Magharibi ni Mmarekani na wala sio Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kama nilivyosema miaka kadhaa iliyopita, zama za utumiaji mabavu zimefika ukingoni."
-
Alkhamisi tarehe Mosi Machi 2018
Mar 01, 2018 04:33Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Machi 2018.
-
Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran kufanyika Aprili
Feb 18, 2018 07:37Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran (FIFF) limepangwa kufanyika chini ya miezi miwili ijayo huku idadi kubwa ya filamu ikiwania kushiriki katika tamasha hilo.
-
Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 13, 2018 16:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mapinduzi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."
-
Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu; "Kujitawala, Kuwa Huru, Jamhuri ya Kiislamu"
Feb 11, 2018 15:42Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameingia katika mwaka wake wa 40 wa umri wake wenye baraka tangu yalipopata ushindi siku kama ya leo miaka 39 iliyopita. Ni mapinduzi ambayo, kwa kusimama kwake kidete na imara kukabiliana na ubeberu wa madola makubwa, yameonyesha kuwa yanataka Iran iwe na uhuru wa kweli wa kujitawala; kujitawala ambako kumepatikana kwa kutegemea irada ya wananchi walioungana na kuwa kitu kimoja.
-
Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina
Feb 10, 2018 16:25Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, nchi hii imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina na pia ni nchi yenye taathira chanya zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.