-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 06:55Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"
Feb 11, 2022 10:39Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.
-
"Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni jinamizi la mabeberu na kimbilio la wanyonge"
Feb 11, 2022 10:39Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yameleta matumaini kwa wanyonge na wapigania ukombozi wa mataifa yao kama ambavyo yametia nguvu masuala ya kiroho na kimaanawi ulimwenguni.
-
Rais: Taifa la Iran limesimama kidete katika misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2022 12:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao na mabalozi wa nchi za nje hapa mjini Tehran kwa mnasaba wa kukumbuka ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran limesimama imara katika misingi ya itikadi za mapinduzi yake."
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni
Feb 07, 2022 12:51Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 10:42Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo
Jan 30, 2022 09:04Neno 'ujahili' au ujinga ambalo limetumika katika Qur'ani na Hadithi na hata katika vitabu na nyaraka nyingi za kihistoria lina maana nyingi.
-
Jumamosi, 17 Julai, 2021
Jul 17, 2021 02:38Leo ni Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1442 Hijria mwafaka na tarehe 17 Julai 2021 Miladia.
-
Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu
Feb 07, 2021 10:28Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.
-
Leo ni Jumapili tarehe 7 Februari mwaka 2021
Feb 07, 2021 08:34Leo ni Jumapili tarehe 24 Jamadithani 1442 Hijria sawa na Februari 7 mwaka 2021.