-
Iran yawaasa Waislamu duniani waungane kuwatetea Wapalestina, Msikiti wa Aqsa
Apr 17, 2022 03:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuushambulia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuungana na kusima bega kwa bega kuitetea kadhia ya Palestina.
-
Hizbullah yatangaza mshikamano na wananchi mashujaa wa Palestina
Apr 17, 2022 02:21Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza mshikamano wake na wananchi wa Palestina na kuyatolea wito mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kutekeleza majukumu yao katika kuitetea Quds Tukufu.
-
Iran: Israel ni dhaifu, haiwezi kuhimili nguvu za muqawama wa Palestina
Apr 16, 2022 10:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuvamia viwanja vya Msikiti wa Al-Aqsa na kuvunjia heshima kibla cha kwanza cha Waislamu, amesisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni ni dhaifu, na wala hauna ubavu wa kustahamili nguvu za mrengo wa muqawama wa Palestina.
-
Israel yachukua hatua kali za kiusalama sambamba na Swali ya Ijumaa ya kabla ya Ramadhani ndani ya Quds
Apr 01, 2022 11:20Vyombo vya habari vimeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechukua hatua kali za kiusalama katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu sambamba na Swala ya Ijumaa ya mwisho ya Wapalestina katika Msikiti wa Al-Aqsa kabla ya kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Wazayuni walaumiwa kwa kupungua idadi ya Wakristo mjini Quds
Mar 26, 2022 02:23Viongozi wa Kikristo wameeleza hofu yao kutokana na kupungua kwa kiwango cha kushtua idadi ya Wakristo katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas: Msikiti wa Al-Aqsa ndio msingi wa vita vyetu na adui Mzayuni
Feb 28, 2022 11:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, Msikiti wa Al-Aqswa ndio msingi wa mapambano ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Muqawama: Israel italipa gharama kubwa kwa uvamizi wowote dhidi ya Aqsa
Jan 01, 2022 02:59Makundi ya Muqawama ya Palestina yamesema luteka ya pamoja ya kijeshi iliyofanywa hivi karibuni na makundi ya mapambano ya Kiislamu katika Ukanda wa Gaza ilikuwa na ujumbe wa wazi kwamba, shambulio lolote dhidi ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa litapelekea Israel kulipa gharama kubwa.
-
Sasa Hamas ina uwezo wa kupiga popote katika ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel
Dec 16, 2021 07:30Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, sasa harakati hiyo ya Kiislamu ina nguvu kubwa za kijeshi ambazo zinaiwezesha kupiga popote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa
Dec 04, 2021 07:41Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu.
-
Hamas yawataka Wapalestina wajitayarishe kuutetea Msikiti wa al Aqsa
Oct 09, 2021 07:56Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imewataka Wapalestina wajitayarishe kwa ajili ya kuutetea Msikiti wa al Aqsa bila ya kujali uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kusitisha azma yake ya kuruhusu ibada ya Mayahudi katika eneo hilo tukufu.