Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Msomi wa Algeria: Ni Iran pekee inayohuisha kadhia ya Palesina duniani

    Msomi wa Algeria: Ni Iran pekee inayohuisha kadhia ya Palesina duniani

    Feb 27, 2017 23:15

    Msomi na mtafiti wa nchini Algeria sambamba na kupongeza hotuba ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kongamano la kimataifa la kuunga mkono Intifadha ya Palestina hapa mjini Tehran kwa kuitaja kama kadhia ya Palestina kama maudhui kuu ya ulimwengu wa Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi pekee duniani ambayo imeweza kuhuisha kadhia hiyo.

  • Waziri wa Palestina: Israel inataka kuubomoa msikiti wa al-Aqswa

    Waziri wa Palestina: Israel inataka kuubomoa msikiti wa al-Aqswa

    Feb 27, 2017 04:22

    Waziri wa Waqfu na Masuala ya Kidini wa Palestina ametahadharisha kuhusiana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuubomoa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Sayyed Albeity wa Lamu, Kenya: Kuna Matumaini Intifadha ya Palestina Itafaulu

    Sayyed Albeity wa Lamu, Kenya: Kuna Matumaini Intifadha ya Palestina Itafaulu

    Feb 26, 2017 11:20

    Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.

  • Mbunge wa Matuga, Kenya: Wanaadamu wote waunge mkono uhuru wa Palestina

    Mbunge wa Matuga, Kenya: Wanaadamu wote waunge mkono uhuru wa Palestina

    Feb 26, 2017 11:13

    Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.

  • Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aunga mkono Intifadha ya Palestina, alaani udhalimu wa Israel

    Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aunga mkono Intifadha ya Palestina, alaani udhalimu wa Israel

    Feb 26, 2017 09:05

    Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.

  • Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel

    Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel

    Feb 24, 2017 23:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, sharti la kuweko amani na uthabiti katika Mashariki ya Kati ni kuangamizwa utawala haramu wa Israel.

  • Tamko la mwisho la Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina

    Tamko la mwisho la Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina

    Feb 22, 2017 13:28

    Tamko la mwisho la Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina uliomalizika leo hapa mjini Tehran limesisitizia udharura wa kulindwa kadhia ya Palestina ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha nchi ulimwengu wa Kiislamu na za Kiarabu na ndilo zingatio kuu la fikra za walio wengi duniani.

  • Rouhani: Israel ni utawala pandikizi mzaliwa wa Magharibi

    Rouhani: Israel ni utawala pandikizi mzaliwa wa Magharibi

    Feb 22, 2017 13:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.

  • Kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Palestina; ni ishara ya kudhoofika siasa za utawala wa Kizayuni katika eneo

    Kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Palestina; ni ishara ya kudhoofika siasa za utawala wa Kizayuni katika eneo

    Feb 22, 2017 04:38

    Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya al Wifaq ya Bahrain amesema kuwa kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika mji wa Tehran ni fursa kwa ajili ya kuonyesha udhaifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni katika siasa zao za kichokozi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Palestina; kadhia ya umoja na kipaumbele cha awali cha Ulimwengu wa Kiislamu

    Palestina; kadhia ya umoja na kipaumbele cha awali cha Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 22, 2017 04:34

    Msemaji wa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa ujumbe mkuu wa kufanyika mkutano huo hapa Tehran ni kudhihirisha suala la Palestina kama kadhia ya awali inayouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    7 hours ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    1 day ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    1 day ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    1 day ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Rais wa Baraza la Ulaya akataa ombi la Trump la kuitaka EU ijitoe kwenye ICC, ICJ

  • Papa Leo atoa indhari kali kuhusu hatari ya "pepo ya mashine" ya AI

  • Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS