-
Dr. Al-Zahar: Lengo la mkutano wa Intifadha wa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama
Feb 21, 2017 00:35Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, lengo la Mkutano wa Intifadha ya Palestina unaoanza leo hapa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama na mapambano na kwamba, nchi nyingine za Kiislamu nazo zinapaswa kuchukua hatua katika njia hiyo.
-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 12:28Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Mamia ya Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Feb 04, 2017 00:25Vyombo vya habari vya Palestina vimetangaza habari isemayo kuwa, zaidi ya walowezi 370 wa Kizayuni wameuvamia Msikiti wa al Aqsa, ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, wiki iliyopita.
-
Wazayuni waongeza njama za kuuvamia Msikiti wa al Aqsa
Feb 01, 2017 23:21Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset limefuta marufuku iliyokuwa inawazuia wabunge wa utawala huo kuingia ndani ya msikiti wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu
Jan 21, 2017 03:30Khatibu wa Masjidul Aqswa amesenma kuwa, kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kupelekwa Baytul Muqaddas kutakuwa ni sawa na kutangaza vita sio tu dhidi ya Wapalestina bali dhidi ya Waarabu na Waislamu wote.
-
Ufaransa yaionya Marekani juu ya kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds
Jan 16, 2017 00:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa amesema kuwa, pendekezo la Donald Trump Rais mteule wa Marekani la kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji wa Baytul Muqaddas ni la kichochezi.
-
Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina
Jan 07, 2017 03:42Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.
-
Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa
Dec 30, 2016 03:44Kamati ya Kiislamu na Kikristo ya kuuhami mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na matukufu yake imeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechimba mashimo mengine kadhaa chini ya msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Wazayuni wakivunjia tena heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Dec 19, 2016 00:54Walowezi wa Kizayuni jana Jumapili waliingia kwenye eneo la Masjidul Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu huko Palestina na kukivunjia heshima.
-
PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu
Dec 17, 2016 04:24Afisa wa ngazi za juu katika Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Qud Tukufu.