-
Sheikh Sabri: Kuuhamishia ubalozi wa Marekani Quds ni kutangaza vita na Wapalestina
Dec 17, 2016 00:54Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema, kuhamishiwa Baitul Muqaddas ubalozi wa Marekani ulioko Tel Aviv na kuitambua rasmi Quds kuwa mji mkuu wa utawala bandia wa Israel ni sawa na kutangaza vita na Wapalestina.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu
Dec 12, 2016 07:13Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.
-
Intifadha; kielelezo kikuu cha kisiasa Palestina
Dec 09, 2016 04:01Katika hali ambayo imepita miaka 29 tangu kulipotokea Intifadha ya Kwanza huko Palestina, harakati hiyo ya wananchi wanamuqawama imeendelea kuhesabiwa kuwa kielekezo kikuu cha kisiasa huko Palestina
-
Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 05, 2016 00:40Makumi ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumapili waliuvamia Msikiti Mtukufu wa al Aqsa katika mji wa Baitul Muqaddas na kulivunjia heshima eneo hilo tukufu.
-
Radiamali ya Iran kuhusu kupigwa marufuku adhana misikitini huko Quds
Nov 17, 2016 00:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezitolea wito jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu kufanya juhudi ili kuzuia kubadilishwa utambulisho wa Kiislamu wa Baitul Muqaddas.
-
Kupigwa marufuku adhana katika Msikiti wa al Aqsa, hatua mpya ya Israel katika fremu ya sera za Trump
Nov 15, 2016 04:09Katika fremu ya kudumisha sera za kuiyahudisha Quds tukufu na kufuta kabisa nembo na alama zote za Kiislamu katika ardhi ya Palestina, Baraza la Mawaziri la Israel limeafiki mpango wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds ukiwemo Msikiti wa al Aqsa.
-
Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa
Nov 10, 2016 09:54Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
UNESCO yapinga njama za kuiyahudisha Baitul Muqaddas
Nov 09, 2016 07:46Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.
-
Hasira za Marekani na Israel kwa uamuzi wa UNESCO kuhusu Quds
Oct 15, 2016 00:24Uamuzi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kusisitiza kuwa Mayahudi hawana uhusiano wowote ule na Masjidul Aqsa, (Kibla cha Kwanza cha Waislamu) wala mji wa Quds, umewahamakisha sana viongozi wa utawala wa Kizayuni na Marekani
-
Maelfu ya Wapalestina wasali Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa
Oct 08, 2016 00:36Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki kwenye Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa licha ya vizuizi na hatua kali za usalama zilizochukuliwa na utawala wa Kizayuni katika mji wa Baitul Muqaddas, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.