-
Wazayuni 40 wameangamizwa na zaidi ya 400 wamejeruhiwa tangu kuanza Intifadha ya Quds
Sep 24, 2016 04:38Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa tangu kuanza operesheni za muqawama wa Wapalestina sambamba na Intifadha ya Quds hadi sasa, wazayuni 40 wameuawa na wengine 458 wamejeruhiwa.
-
HAMAS: Intifadha ya Quds itaendelea
Sep 12, 2016 23:45Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna ulazima wa kuendelezwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jihad Islami Palestina kuendeleza mapambano ya kukomboa Quds
Sep 02, 2016 10:27Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya kupigania ukombozi Palestina ya Jihad Islami amesisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano na mwamko (Intifadha) dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ili kukomboa ardhi zote za Palestina hasa Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Jumatano 24 Agosti 2016
Aug 24, 2016 05:46Leo ni Jumatano tarehe 21 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 24 Agosti 2016.
-
Iran: Kuchukuliwe hatua za kimataifa kuzuia kuharibiwa Masjidul al-Aqswa
Aug 24, 2016 03:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kimataifa kwa ajili ya kuzuia kubomolewa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Utawala wa Kizayuni waendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa
Aug 21, 2016 23:26Msemaji wa Taasisi ya Waqfu na Turathi za Kiutamaduni ya Al-Aqsa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Ripoti: Israel inajiandaa kuubomoa msikiti wa Al-Aqsa na kujenga 'hekalu la tatu'.
Aug 16, 2016 11:52Imeelezwa kuwa taasisi za utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya maandalizi ya kuanza kutekeleza mradi wa ubomoaji wa msikiti wa Al-Aqsa na kujenga mahala pake maabadi iitwayo "Hekalu la Tatu la Sulaiman".
-
Walowezi wa Kizayuni wazidi kufanya uvamizi katika msikiti wa al-Aqswa
Aug 05, 2016 23:14Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena jana Ijumaa walifanya uvamizi dhidi ya msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kushadidi njama za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Quds
Aug 04, 2016 23:57Ripoti mbalimbali zinaonesha juu ya kuanza duru mpya ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na satua katika mji wa Quds.
-
Walowezi wa Kizayuni wafanya uvamizi tena katika msikiti wa al-Aqswa
Jul 21, 2016 23:48Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamefanya uvamizi dhidi ya msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina inayokaliwa kwa mabavu.