-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia tena Msikiti wa al-Aqswa
Jul 18, 2016 23:11Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameuvamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina.
-
Sisitizo la chama cha Likud la kuuliwa Wapalestina zaidi
Jul 12, 2016 02:59Licha ya jamii ya kimataifa kulalamikia vikali mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina, kundi moja la wabunge wa utawala huo katili limekutana na kuhimiza kuongezwa mashinikizo ya kisiasa, kijeshi na kiuchumi dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni waendeleza jinai Siku ya Kimataifa ya Quds
Jul 01, 2016 10:48Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi Wapalestina wawili kwa kuwapiga risasi.
-
Mamilioni ya watu washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kote duniani
Jul 01, 2016 03:23Mamilioni ya watu hapa Iran na katika nchi zingine kote duniani wanashiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.
-
IRGC:Uchu wa kuikomboa Quds, chachu ya harakati za muqawama
Jun 30, 2016 23:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limesema uchu wa kutaka kukombolewa Quds tukufu ndio chachu inayozipa nguvu harakati za kimuqawama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Wito wa Iran kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 30, 2016 03:01Sambamba na kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds itakayoadhimishwa kote duniani kesho Ijumaa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran ifuatilie haki zake zilizokiukwa na Marekani
Jun 29, 2016 23:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaka vyombo vya mahakama Iran kuchukua hatua imara zaidi katika kufuatilia haki za Iran zilizokiukwa kutokana na vikwazo kupitia vyombo vya mahakama vya kimataifa.
-
MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 29, 2016 04:05Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Ni matarajio yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds: Palestina, Kadhia Kuu ya Waislamu Duniani
Jun 28, 2016 23:57Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Jeshi la Iran launga mkono Intifadha ya Palestina
Jun 28, 2016 09:35Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa watu wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.