-
Benki ya ADB kuipa msaada wa fedha Sudan Kusini
Jul 16, 2016 23:38Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) imetangaza habari ya kuipa Sudan Kusini msaada wa fedha ili itatuwe matatizo yake ya maji.
-
Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina atembelea Rwanda
Jul 16, 2016 11:32Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, leo Jumamosi ameelekea mjini Kigali Rwanda kwa ajili ya kushiriki mkutano wa nchi za Umoja wa Afrika AU.
-
Jumamosi 09 Julai 2016
Jul 09, 2016 01:32Leo ni Jumamosi tarehe 9 Julai mwaka 2016 Miladia.
-
Sierra Leone: Kuna haja Baraza la Usalama la UN lifanyiwe mageuzi
Jul 02, 2016 23:38Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone amesema msimamo wa viongozi wa Afrika kutaka kufanyiwa marekebisho Baraza la Usalama la Umoja Mataifa bado uko pale pale.
-
Waafrika wasisitiza umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 28, 2016 09:40Shakhsia mbalimbali wa Kiafrika wameendelea kutilia mkazo umuhimu wa kufanyika kwa mafanikio na adhama kubwa shughuli za Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Nchi za Kiafrika zakosoa ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 28, 2016 03:17Kundi la nchi 54 za bara Afrika limekosoa vikali ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.
-
Nchi za Afrika zaanzisha mpango wa kuwalinda Albino
Jun 21, 2016 03:22Kongamano la siku tatu la kikanda kuhusu ulemavu wa ngozi barani Afrika limehitimishwa nchini Tanzania ambapo mpango wa kwanza kabisa wa utekelezaji umeanzishwa.
-
Bajeti za nchi za Afrika Mashariki na Kati na changamoto zake
Jun 18, 2016 06:41Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC zimesoma bajeti zao huku zikiwa zinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo kutoongezwa mishahara na kupandisha kodi za bidhaa mbalimbali. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kampala ametuandalia ripoti hii...
-
Vijana: Wanasiasa ndio chanzo cha mizozo na matatizo Afrika
Jun 17, 2016 00:14Idadi kubwa ya vijana barani Afrika wanahisi kuwa chimbuko la matatizo, mikwaruzano na migogoro katika nchi za bara hilo imetokana na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na ubinafsi.
-
Tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim yakosa mshindi 2015
Jun 16, 2016 11:01Wakfu wa Mo Ibrahim umetangaza kwamba hakukuwa na mshindi wa tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim mwaka jana 2015.