-
Mjumbe wa UN alaani mauaji ya mwandishi habari Somalia
Sep 29, 2016 01:08Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Michael Keating amelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Radio Shabelle Abdiaziz Mohamed Ali yaliyotekelezwa Jumanne na watu wasiojulikana mjini Mogadishu Somalia.
-
Kenya yatangaza azma ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab
Sep 27, 2016 11:38Afisa wa ngazi za juu katika polisi ya Kenya amesema vikosi vyote vya usalama nchini humo vina azma imara ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab.
-
Al Shabaab washambulia Kenya, askari polisi wawili hawajulikani waliko
Sep 22, 2016 11:09Askari polisi wawili wa Kenya hawajulikani waliko kufuatia shambulio la kundi la kigaidi na kitakfiri la Al-Shabaab katika kituo cha polisi cha Kaunti ya Garissa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Hayo yameelezwa na msemaji wa Polisi ya Kenya George Kinoti.
-
Watuhumiwa saba wa ugaidi watiwa nguvuni Isiolo, Kenya
Sep 06, 2016 23:46Jeshi la Polisi mjini Isiolo nchini Kenya linaendelea kuwasaili watu saba wanaoshikiliwa na jeshi hilo tangu wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la ash Shabab.
-
Idadi ya wahanga wa shambulio la ash-Shabab mjini Mogadishu yaongezeka
Aug 26, 2016 11:57Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab katika moja ya maeneo ya pwani mjini Mogadishu huko Somalia imeongezeka na kufikia 10.
-
Operesheni za jeshi la Somalia na AMISOM dhidi ya ash-Shabab
Aug 25, 2016 02:39Jeshi la serikali ya Somalia kwa kushirikiana na askari wa Umoja wa Afrika AMISOM, limetekeleza operesheni kubwa dhidi ya kundi la ash-Shabab kusini mwa nchi hiyo.
-
Kenyatta: Vikosi vya AMISOM vimepiga hatua katika mapambano dhidi ya Al-Shabab
Aug 23, 2016 00:20Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema jeshi la Somalia na vikosi vya Umoja wa Afrika vilivyotumwa nchini humo (AMISOM) vimepiga hatua ya kuridhisha katika vita dhidi ya wanamgambo wa kundi la Al-AShabab nchini Somalia.
-
Jeshi la Somalia na Amisom zimebuni stratejia mpya dhidi ya al Shabab
Aug 07, 2016 08:51Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) na jeshi la nchi hiyo wamebuni stratejia mpya ya kupambana na kundi la wanamgambo wa al Shabab.
-
Oparesheni ya vikosi vya Somalia dhidi ya al Shabab
Aug 04, 2016 23:45Askari usalama wa Somalia wamefanya oparesheni dhidi ya wanamgambo wa kundi la al Shabab na kuuwa wanamgambo kadhaa.
-
KDF: Al-Shabaab inawasajili kwa nguvu vijana nchini Kenya
Aug 03, 2016 03:31Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF limesema kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab sasa linawalazimisha vijana kujiunga nalo, haswa katika maeneo ya Pwani ya nchi.